Recent content by OJODE AMANI

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jafari Chege: Mimi ni Muombaji wa Fedha za Maendeleo, Anayetoa Fedha Hizo ni Rais Samia

    Mheshimiwa: suala la UMEME Bado vijijini vingi Bado miundombinu ya umeme,,, UMEME umepita tu bababarani,, fanya mpango UMEME usambazaji wa nguzo ili watu waweke kwenye majengo!!! Mfano kijiji cha MANILA Bado umeme haujaenea!!!!
  2. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda Kenya kushiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Odinga

    Ukifika nisalimie, Mh. Raila Amolo Odinga Oginga Jaramogi.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mahakama yazuia Vijiji vya Ngorongoro Kufutwa

    Haki haipotei bali inaweza kucheleweshwa
  4. O

    JamiiForums Tanzania Mzee Kipara anamiss Safari za nje

    Baba yake alishasema,, atarudi tena kwenye system!!
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa Mawaziri Mizigo na Waliofanya Vizuri Kwenye Cabinet ya Samia Mwaka 2023

    This is very dangerous,,,,, there's no direction to go!!!
  6. O

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na kulaani, yapi mamlaka mengine ya TLS?

    Subri waje watuambie
  7. O

    JamiiForums Tanzania Azam na habari ya saa mbili haitangazi matukio muhimu ya Serikali

    Vyombo vya habari ni vingi sana nchini,,,siyo vyema vyote vitangaze habari mmoja UTV wapo vizuri Sana mimi ndo chaneli pendwa pamoja na ITV
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mishahara haijapanda hata senti moja , nini maoni ya vyama wafanyakazi?

    Unazungumzia mshahara wa Nchi gani hiyo! Be specific ili tujue tunachangiaje mada yako!
  9. O

    JamiiForums Tanzania Waziri mpya wa Mawasiliano, anza kazi na Azam Media. Wamepanga kutupiga kwenye vifurushi vipya

    Mimi kuanzia leo sitaki mipira ya ndani,,,,, naenda kununua DSTV na kuanza kuangalia mipira ya nje!
  10. O

    JamiiForums Tanzania Waziri mpya wa Mawasiliano, anza kazi na Azam Media. Wamepanga kutupiga kwenye vifurushi vipya

    Tutahamia DStv,,, Azam wanadhani tunakula mpira!
  11. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaagiza Wizara ya Utamaduni kuwafundisha vijana mila na desturi kupitia michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA

    Jamani mbona nilisaulika mwaliko wa machifu,,,,,,,,mie pia ni CHIFU
  12. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wanamilikisha Kodi za wananchi na mikopo ya nchi Kwa Rais,

    Mambo haya haya ya kuita kodi za wananchi pesa za Rais ndo maana ata wafanyabishara wa nchi hii wanakwepa kulipa kodi kwa sababu hakuna siku wala saa kiongozi au viongozi wa nchi wakasimama na kushukuru wananchi Kama vile wafanyakazi,, wafanyabishara,,wakulima kwa uzalendo wao wa kulipa kodi...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rigathi Gachagua ailaumu Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya kwa kumpa Rais Ruto taarifa zisizo sahihi

    Kweli kabisa mkuu wa usalama angesoma alama za nyakati mapema
  14. O

    JamiiForums Tanzania Somo kwa CCM na Watanzania kwa ujumla

    Inauma Sana Tz itabadilika tu kuvute Subra
Back
Top Bottom