Recent content by oiler

  1. oiler

    JamiiForums Tanzania Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo Papa mweusi, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi?

    Kwa upande wangu. Angalia kwanza asili ya eneo na wakazi wa hilo eneo. Mfano kwa waisalam mtume MUHAMMAD (saw) alikua bara la Arab.na bilali bin rabah alikuja saudia kama mtumwa. Lakini kwa wenzetu kwa ma papa kwanza wanatokea ulaya kwwnye chimbuko la wazungu ni ngumu kupata kiongozi wa taifa...
  2. oiler

    JamiiForums Tanzania Hivi ilikuaje hadi urafiki wa baba na jirani yake tolu kuvunjika?

    Kaka umeharibu ladha kabisa. Code inapendeza itembee kwa code. Jifunze mazingira y’a lugha mkuu. (Samahn kama nimekukera)
  3. oiler

    JamiiForums Tanzania Fahamu juu ya sifa na taratibu za kuwa rubani

    Duhh hua sichangii sana jf.ila kiongoz thank so much .hizi mada zenye akili na kufunguana mawazo ya kutafuta pesa.
  4. oiler

    JamiiForums Tanzania Vichwa bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania nje ya siasa

    Profesor mussa assad.
  5. oiler

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haitumii Wafungwa kusafisha miji na kufanya kazi za SGR?

    # usadi .. - usafi. Mkuu unapoandika kabla hujapost jaribu kusoma kwa sauti kimoyo moyo.
  6. oiler

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe kajiharibia sana. Angekaa kimya mpaka 2025, umri unamtupa kulingana na Katiba?

    Mkuuu. Kwani kigezo cha dini ni katiba au ni busara tu za watu. Kama kuna kipengele kinachosema akitoka mkiristo aingie muisalm tuletee hapa ili tupate faida.
  7. oiler

    JamiiForums Tanzania Rwanda na Burundi ziliikosea nini Tanzania?

    Mkuu .naona umesahau hapa.sisi Ndo watu Wa Kigoma tunajua .Ni hizi Tatu.Congo DRC ,burundi Na Rwanda.wanawasumbua Sana kwakua migrant Ni wengi thus y.
Back
Top Bottom