Miaka 50 ya dhulma na Ufisadi wa ccm Tanzania unakurubia kuisha cha msingi wananchi wezangu tujiandae kwa ajili ya mapambano tuondoe dhulma iliotapakaa kila kona kote Tanzania
Habari wana Jf,
Naomba msaada wa taarifa juu ya shule ya sekondari kwa jina la 'Nguvu mpya'. Naomba kujua ipo sehemu gani? Ina vidato vingapi na kama ina 'O' level na 'A' level na kwa taarifa zozote za ziada ambazo zinaweza kuwa msingi nikizijua.
Natanguliza Shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.