Hapana sio kwel, Mungu alitupa uwezo mkubwa sana wakuishi na mwanamke yeyote, wanaume tumeshindwa kutumia uwezo huo aliotupatia Mungu.. Inakuwaje mwanaume analalamika eti wanawake wenye elimu ni wasumbufu? Umekufa kifikra ndugu yangu, amkaa unawezo mkubwa Sana kaka, achana na maneno ya...