Recent content by Ofisho mlinzi

  1. Ofisho mlinzi

    Doria ya vyombo vya ulinzi na usalama wakiwa na silaha za moto kwenye mikusanyiko ya watu wakati wa shughuli za kijamii na kiuchumi ni sahihi?

    Lakini ni hatari zaidi wanajenga ujasiri kwa raia hivyo wanaweza kupata wahalifu wenye weledi mkubwa wa kukabiliana nao namna wanavyo tembea na siraha katika maeneo ambayo hayaonyeshi uhitaji.
  2. Ofisho mlinzi

    Doria ya vyombo vya ulinzi na usalama wakiwa na silaha za moto kwenye mikusanyiko ya watu wakati wa shughuli za kijamii na kiuchumi ni sahihi?

    Sijawahi fika Rwanda ila kama vile ninavyoonaga kwenye vyombo vya habari juu ya matukio ya kongo ni ajabu sana asee
  3. Ofisho mlinzi

    Doria ya vyombo vya ulinzi na usalama wakiwa na silaha za moto kwenye mikusanyiko ya watu wakati wa shughuli za kijamii na kiuchumi ni sahihi?

    Wakuu nianze na kisa kifupi kidogo. Juzi nilikuwa katika mizunguuko kwenye miongini mwa masoko nikitafuta baadhi ya mahitaji. Ghafla niliona maafisa watatu wakiwa na silaka za moto. Nikamuuliza miongoni mwa wafanyabiashara hawa maafisa wamekuja kumkamata mhalifu? Akasema hapana wapo kwenye...
  4. Ofisho mlinzi

    Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambazo mkataba wake sio wa kudumu

    Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambao mikataba yao haizidi mwaka m1
  5. Ofisho mlinzi

    Unafuu wa maisha na ugumu wa maisha ya Mtanzania huletwa na yeye mwenyewe

    Awali ya yote niwasalimu ndugu na wadau wa jamii forum ,pili nikushukuru wewe unaelisoma andiko hili tatu na mwisho nikuombe wewe ikiwa unaguswa na haya basi tumia nafasi ulio nayo bila kupima udogo ama ukubwa wake kuisaidia jamii yetu ipate kuwa na ufahamu amabao utasadia miongoni mwa wengi...
  6. Ofisho mlinzi

    Ili niweze kuonesha michezo inahitajika mtaji wa Tsh ngapi?

    Naona ni fursa ya kujiajiri kupitia kutoa huduma ya kuonyesha mpira, masumbwi, tamthilia pamoja na michezo mingine pia hata matukio mbalimbali, Je mchanganuo wa mtaji wake upoje?
  7. Ofisho mlinzi

    Naomba kujua mwongozo wa uvunaji maliasili

    Naomba kujua mwongozo wa uvunaji mali asili miti katika shamba ninalomiki kisheria (inapokua imepoteza sifa za utoaji mazao kama miembe na kadhalika)
Back
Top Bottom