Ndege zimepaki pale jk zinapigwa na mvua tu, alafu janga la covid mnapitisha bakuli na kuomba mkopo wa kupambana nalo, ni heri jpm ungenunua bombardier tatu tu zipige route za ndani alafu hizo trilioni ulizowekeza kwenye boeing na airbus zile ungewekeza kwenye afya kwa kiasi kikubwa
Kwa hali ya...
Nimepita juzi hapo Temeke Magorofani nikakuta watu wanauza matunda kilichonishtua ni mtu ameweka mananasi yaliyokatwa vipande vipande juu ya meza halafu nzi wa chooni wale nzi wakubwa wenye rangi ya gold wamejaa kwenye hayo mananasi na muuzaji hana habari.
Wizara ya Afya ichukue tahadhari...
Hiyo sony na hizo samsung zote tulinunua kwenye duka verified na linamilikuwa na mkorea, vitu vyake ni og, cha msingi mkubali kuwa kuna brand ni cheap lakini zipo vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Tv zilinunuliwa kwenye maduka yao verified kabisa, na ni brand original , na hazikuwahi kuzimwa labda umeme ulipokatika tu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.