Recent content by Official_One

  1. O

    JamiiForums Tanzania Utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa

    Thanks kwa jibu lako ni kweli nimeenda mpaka board na wameniambia niandike barua kwa mkurugenzi mtendaji wa board ya mikopo.....ILA WAMENIAMBIA NITAKULA MSOTO! Nashindwa kuelewa hapo
  2. O

    JamiiForums Tanzania Hivi ukichelewa kusaini pesa ya kujikimu inarudi HESLB?

    Je huwa inawezekana kuja kuipata? na huwa wanajumuisha na fedha za kujikimu nyingine?
  3. O

    JamiiForums Tanzania Utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa

    Je, ni utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Ningependa kufahamu juu ya utaratibu ambao mwanafunzi anapaswa kufuata akichelewa kusaini fedha ya kujikimu

    Habari, Ningependa kufahamu juu ya utaratibu ambao mwanafunzi anapaswa kufuata akichelewa kusaini fedha ya kujikimu na je fedha hizo zinaweza kurudi?
Back
Top Bottom