Recent content by Official nyox

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Sisi ndo tuko sasa...mkitaka ambao hamna watot mzae wenu
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada, mnataka dakika ngapi?

    Swali wameulizwa wanawake ila ss wanaume tumeamua kuwajibia
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Ndo hapo wanapaita maji moto?
  4. O

    JamiiForums Tanzania Huu muonekano wa neno GOOGLE leo una maana gani?

    Kwan huoni shape za hizo letter mkuu?
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkaka atupiwa vinguo vyake nje na aliekuwa mchumba wake

    Ajali kazin mkuu...usiwaze ...utapata mwngine tu...mijishangazi IPO mingi
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rihanna Atoa Somo Zuri kwa Wanawake. Jitahidini Kuishi Maisha Ambayo Hamtajutia Baadaye

    Hakuna kitu kinanikera kwa vibinti vya kibongo vikishaweka miwigi kichwan basi utaskia 'mahari yangu ni million 500'...mwngine mara ohh natumia million 5 la bando...kupitia huko tu wanatuaribia hata Hawa ambao wanaweza kuoleka na kujenga familia Kwan wanawake wengi kwa kufake au kweny uhalisia...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wana roho ngumu sijawahi kuona

    Aah..ila si ndo uhalisia mkuu?ukiwa away ground lazma ukaze haswa..inatakiwa uache legacy kama mwamba alivyofanya
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wana roho ngumu sijawahi kuona

    Kwa hyo umekubali kwamba jamaa wa jambo pinzan anapeleka mikito zaid yako?maana tangu uko nae huyo mwamba hajawai kuiskia hiyo sauti ila mwamba alivyotia team tu jamaa akashindwa kuzoea hyo sauti
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume weusi tuhuma hizi ni za kweli?

    Haha...ni mwendo wa matukio tu..ataenda pumzika kaburini ndo hatokumbana na hizo heartbreak
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Yan unajiachia na mke wa mtu hadi unalala kitandan alicholala na mme wake?hizo ni dharau kabisa...hata kama ni kuchepuka mke wa mtu c kwa viwango hivyo ulivyofikia....anapatikana wapi nimpelekee mayai viza?
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Asantee kwa kunielewesha mkuu..ndo maana nmeuliza
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Kabisa mkuu...nlidhan ndo kisiwa kinachounda Zanzibar
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Najua ni Zanzibar mkuu...nisamehe tu
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Aah...nlifikir kisiwa kilichopo Zanzibar mkuu
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Sijasoma yote ila nmeshanga Rais siku izi ana maamuzi ya kumtengua DED wa viziwan.?au Kuna Mafia nyingine?
Back
Top Bottom