Recent content by Official Chamimi

  1. Official Chamimi

    JamiiForums Tanzania Dadeki kama mbwai na iwe natumia transcript kuombea kazi za ajira mpya

    Aiysee.. Changamooto mkuu, wengne hapa tuliambiwa mwezi wa saba... Japo kuna tetesi kuwa kuna mabadiliko yaeza isifike huko, kwahyo mwendo wa Transcript ni kwa wengi tuu... Nafasi kadhaa tayari zishatupita inshort yaan Cham'z
  2. Official Chamimi

    JamiiForums Tanzania Dadeki kama mbwai na iwe natumia transcript kuombea kazi za ajira mpya

    Mkuu kwa tetesi mmeambiwa vinatolewa lini kwenu?? Cham'z
  3. Official Chamimi

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi Jamaani...

    Nmewaelewa wakuu... Kuhusu passport nitaenda kupiga ntawaletea, + barua ya utambulisho kutoka kwa mtendaji kata.... hahahaa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Official Chamimi

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi Jamaani...

    Hodi hodi jamaani, wenyeji mpo?? Mimi ni mgeni humu, sijawahigi ingia katika familia hii na kuwajulia hali. Naomba nipokelewe na kukaribishwa kiroho saafi.. Natumai na nataraji kuwa na nyinyi kuanzia sasa na kuendelea... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom