Recent content by Odax Thomas

  1. Odax Thomas

    JamiiForums Tanzania Nijiendeleze kwenye udereva au nifanyie biashara?

    Shukran Kaka Shukran Ka Mkubwa
  2. Odax Thomas

    JamiiForums Tanzania Nijiendeleze kwenye udereva au nifanyie biashara?

    Nimekuelewa Kiongozi Nafanyia Kazi
  3. Odax Thomas

    JamiiForums Tanzania Nijiendeleze kwenye udereva au nifanyie biashara?

    Shukran Mkuu
  4. Odax Thomas

    JamiiForums Tanzania Nijiendeleze kwenye udereva au nifanyie biashara?

    Shukran Kaka Mimi Niko Tanga
  5. Odax Thomas

    JamiiForums Tanzania Nijiendeleze kwenye udereva au nifanyie biashara?

    Pesa Ya Dareva Kila Msimamizi Wa Sheria Barabarani Anataka Kuila Yani Ukipigwa Tu Mkono Uwe Na Kosa Usiwe Na Kosa Utachangia Ya Kiwi Iwe Ndani Ya Nchi Au Nje Ya Nchi
  6. Odax Thomas

    JamiiForums Tanzania Nijiendeleze kwenye udereva au nifanyie biashara?

    Hela Unaweza Ukaiona Kwa Macho Ya Nyama Coz Kunakuwa Na Mshahara Na Pesa Ya Safari Ila Kimbembe Ni Hao Raia Wa Huko Barabarani
  7. Odax Thomas

    JamiiForums Tanzania Nijiendeleze kwenye udereva au nifanyie biashara?

    Habari Wana Jukwaa Samahani Naomba Mawazo Yenu Mimi Ni Kijana Wa Miaka 30 Sasa Kiwango Changu Cha Elimu Ni Darasa La Tano Na Nina Cheti Cha Udereva Wa Awali Nimejitahidi Kutafuta Kazi Ya Taaluma Yangu Ya Udereva Kwa Ngazi Ya Daraja Langu Kwenye Taasisi Na Miradi Ila Nakosa Nafasi Kwakukosa...
  8. Odax Thomas

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Inaumiza Macho Kusoma Kwenye Simu
  9. Odax Thomas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utajuaje mwanamke ni bikira?

    Ila Mshangazi Unanivutiaga Kweli Basi Tu Najikaliaga Kimya
  10. Odax Thomas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matamanio yangu kwenye mahusiano ni kuwa na mwanamke mfupi

    Wana Jf Habari Zenu, Binafsi Yangu Kwenye Mahusiano Matamanio Na Mapenzi Yangu Huwa Nahitaji Sana Kuwa Na Wale Wanawake Wafupi Wafupi. Mtaani Huku Wanawaita Mbili Kimo But Upatikanaji Wao Ni Adimu Sana . Sijui Nafanye Ili Kuweza Kupata Wa Aina Hiyo
Back
Top Bottom