Recent content by octavian joseph

  1. octavian joseph

    Natafuta nafasi ya ualimu wa masomo ya Hesabu na Uhasibu

    Mimi mzima, aisee pilikA pilika za maisha
  2. octavian joseph

    Natafuta nafasi ya ualimu wa masomo ya Hesabu na Uhasibu

    Vile vile awe na malengo katika kazi yakufundisha na uvumilivu Wa wanafunzi Wa kizazi kipya
  3. octavian joseph

    Natafuta nafasi ya ualimu wa masomo ya Hesabu na Uhasibu

    MTU anaweza kufundisha hesabu cha muhimu awe anauwezo Wa somo husika (amefanya vizuri kulingana vyeti vyake katika somo husika), awe kweli anapenda kufundisha hesabu,awe Na uwezo wakumfundisha Mwanafunzi na kumuuelewa( teaching strategies and skills)
  4. octavian joseph

    Natafuta nafasi ya ualimu wa masomo ya Hesabu na Uhasibu

    Nipo morogoro, ninafundisha mathematics na book keeping/accounts kuanzia o level hadi A level
  5. octavian joseph

    Natafuta nafasi ya ualimu wa masomo ya Hesabu na Uhasibu

    I have experience in teaching mathematics and I am on progress studying postgraduate diploma in education
  6. octavian joseph

    Natafuta nafasi ya ualimu wa masomo ya Hesabu na Uhasibu

    Bachelor degree in accounting and finance from mzumbe university and postgraduate diploma in education (on progress through online)
  7. octavian joseph

    Natafuta nafasi ya ualimu wa masomo ya Hesabu na Uhasibu

    Mimi ni mwalimu wa Hesabu na Uhasibu kwa O-level na A-level.Natafuta nafasi ya ualimu kwa masomo hayo kwa mkoa wa Morogoro na Dar es Salaam. Napatikana kwa kupitia namba 0714411927/0755942150
Back
Top Bottom