Jana mheshimiwa Rais wa Tanzania alizindua Sera mpya ya Elimu ambapo kati ya mengi yaliyomo ndani ya sera hiyo ni kufutwa kwa mtihani wa Darasa la Saba na Elimu ya Msingi kuongezwa hadi Kidato cha Nne.
=========
Source: The Citizen
kumbuka wakati TUCTA wanatangaza mgomo wa nchi nzima aliitisha mkutano na kumwita mgaya mwongo, mchonganishi, asiyeitakia mema nchi hii nk.....today is no brainer....nothing he will say that will make any sense in the ears of pro paltiament whatsoever....tujiandae kisaikolojia for disapointment
i agre with u, for those of us who have been adult over the years jk has cursed our dear country tunaposikia ana mkutano na wazee wa msoga na chalinze tunaoambiwa n wazee wa dsm huwa n mashairi tu ya kujisafisha na kuita watu waongo....hakuna jipya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.