Recent content by Obyree

  1. O

    KUITWA KWENYE ORAL INTERVIEW - BoT

    majina yapo kwenye website ya Benki Kuu..... All the best www.bot-tz.org kwenye Jobs and Tenders
  2. O

    Second interview NSSF

    Mimi mwenyewe nimeiona hiyo post humu humu jf.... Call for oral interview. Lakini kwenye website yao sijaiona. Sasa sijui huyu SUPU YA MAWE kaitoa wapi.
  3. O

    Second interview NSSF

    Call for oral interview tayari itakuwa tarehe 17 jan.... ila wameitwa wengiiii wa bukoba, mwanza na kahama..... dar mmoja tuu. Walioitwa wako kama 30 hivi.... pitia website ya NSSF.
  4. O

    Kulikoni TBS kutangaza tena nafasi za kazi?

    Zimetangazwa wapiii? mbona kwenye website yao hakuna kitu kama hicho...
  5. O

    Barua kutoka Sekretarieti ya Ajira

    Rafiki yangu alichelewa kupata yake huku wenzake wakiwa wameshapata.... alipoenda kufuatilia aliambiwa asubirie itatumwa tuu posta. Wiki mbili mbele na barua bado...siku hiyo akaenda kuwauliza tena akawa mkali secretary akawa anakijibu kwa nyodo. Kumbe barua anayo kwenye meza yake nafikiri...
  6. O

    Kuitwa kwenye usaili - TBS (tanzania bureau of standards)

    Jamani kwa mlioapply interview tarehe 31.07.2014 -01.08.2014 Bonyeza link hii KUITWA_KWENYE_USAILI_JULY_2014_Sheet1.pdf
  7. O

    Interview ssra

    Wameshatoa leo, check utumishi. Interview tarehe 5/7 jumamosi hii
  8. O

    Sumatra waanza kuita kwenye usaili

    Aisee simu yangu ilikuwa imeharibika week nzima hii, hawajayatoa majina sehemu yoyote au waweza nsaidia number yao ili ni confirm kama na mimi nimo maana nili apply pia. Nitashukuru mkuu kwa msaada.
  9. O

    Barua kwenu TPDC

    TPDC ni shirika la serikali, serikali imeshikiliwa na CCM.
  10. O

    Mwenye majina ya walofaulu usaili tpdc

    Naongelea ya finance na public relations ofcourse waliotoka written kwenda oral. Majibu walisema wataweka kwenye website yao trh 4.12.2013 lakini usiku mzima mpaka asubuhi hakukuwa na kitu kama hicho. Wamekuja kuweka majina saa 4 wakati interview ni saa tatu, yaani saa lishapita.
  11. O

    Mwenye majina ya walofaulu usaili tpdc

    Je kwako yalifunguka saa ngapi? Maana mimi niliyaona nne kasoro asubuhi na interview ilianza saa tatu asubuhi. Wamefanya vibaya.
  12. O

    Barua kwenu TPDC

    Habarini wana jamvi, poleni kwa mliokumbwa na unyama wa TPDC. Kwenu wakuu wa kazi TPDC ni dhahiri mlikusudia mliyoyafanya kwa wanyonge wananchi. Nikiwa kama mmoja wao nimehuzunishwa na the way mlivyowapata watu wenu kwa njia za panya na kuwadidimiza wanyonge. Tangu tulipoomba kazi mwezi wa...
  13. O

    Interview ya TPDC utata mtupu!!!

    Yaani mimi ndo wamenikera wameniboa na kila kitu, walisema watabandika kwenye website ya coet.udsm jana saa 11 jioni tangu jioni hiyo mpaka leo asubuhi ya saa nne kasoro ndo majibu waruhusu web kufunguka. Hoja yangu ni, kama kweli walikuwa wanahitaji kusaili watu walishindwa nini kuweka results...
Back
Top Bottom