Recent content by Obwere Kabwana

  1. O

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi mwingine wa Kutisha Halmashauri ya Rorya

    Ufisadi wa Kutisha Halmashauri ya (W) Rorya Waziri wa Tamisemi Mhe Mchengerwa Kamanda Mkuu wa kupambana na Kuzuhia Rushwa (PCCB) Mkurugenzi Mkuu Idara ya Usalama wa Taifa Tunawaomba mtume wataalam waje wachunguze ufisadi unaoendelea katika Halmashauri ya Rorya Kuna kiasi cha Tzs...
  2. O

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwenyekiti wa CCM(W) Rorya Ongujo Wakibara na DC Chipola Wameandaa Genge kuwazomea Viongozi wa CCM

    Mwenyekiti wa CCM (W) Rorya, Ongujo Wakibara na DC wa Rorya, Juma Chikoka jana usiku wamefanya Kikao na Viongozi wa Tarafa ya Suba nyumbani kwa Mwenyekiti wa CCM (W) Ongujo, Wakibara Shirati Lengo la kikao ni kuwapanga Wajumbe wa Halmashauri Kuu kutoka Tarafa ya Suba kuwazomea Viongozi Wastafu...
  3. O

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi wa kutisha Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kupitia kampuni ya Ongujo Investment

    Waziri wa TAMISEMI na Taasizi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) tumeni kikosi kazi kuchunguza Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kuna ufisadi wa kutisha. Kampuni ya Ongujo Invesment inayomilikiwa na Ndg. Ongujo Wakibara (OWAN) ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Rorya imepewa zabuni ya...
Back
Top Bottom