Recent content by Obama wa Bongo

  1. Obama wa Bongo

    JamiiForums Tanzania TTCL: Kufungiwa Huduma za Fiber ni bure, wanaodaiwa kuchukua rushwa hatua zitachukuliwa

    Hawa jamaa tulijunga nao huduma ya land line,dah tiliamua kuavha nao
  2. Obama wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Picha ya Marafiki wa Lowassa

    Mkubwa wa wahuni na wanae...... Don RA
  3. Obama wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Silvanus Mizengo Ole Pinda ni nani tena?

    Miaka kama 5 iliyopita kuna picha ilitrend alipiga instragram bi Sofia byanaku( Mke wa Profesa janabi) amekutana na vijana 25 yrs mapacha wa kitanzania wanasoma HARVAD , Mmoja wao ndio huyu mtia nia wa ubunge huko Ngorongoro.Mimi binafsi wanafahamu tangu wakiwa wadogo ni wanyenyekevu sana, japo...
  4. Obama wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Challenge: Ulipata GPA ya ngapi Chuo Kikuu?

    2.6 pass
  5. Obama wa Bongo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watumishi wa Umma hatuna deni na Mh Samiah Hassan Suluhu

    Nitapigia Kura CCM kwa Mara ya Kwanza, Nani Kama Mama Samia 🤩🤩🤩
  6. Obama wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar es Salaam

    Achana na sisi tusipangiane maisha
  7. Obama wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Muhimbili: Eng Matala avamiwa na kuchinjwa. Aponea chupuchupu

    Kifo ni kifo TU
  8. Obama wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wafanyakazi wengi wa halmashauri hawana uweledi?

    Halmashauri wamesahaulika SANA, si wazembe
  9. Obama wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kateleza ulimi. Kazi ya Mbunge si kuleta maendeleo wala kutoa huduma

    Ndio uwezo wake wa kufikiri
  10. Obama wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anatarajiwa kuzindua daraja la Magufuli, Kigongo - Busisi Juni 19 2025

    Ajichanganye sasa aliite Jina lake
  11. Obama wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watumishi wa Umma wanakosa uzalendo, unateua mtu anakwenda kupiga picha nyaraka za siri na kusambaza

    Pamoja na madhaifu mengi ya Mh Rais ila sijui kwa Nini bado ni Rais Bora kwangu wa muda wote, Ameliponya taifa kwa mengi awamu ya tano ingeendelea tungekuwa shimoni sasa hivi. Kongole Mamq Samia
  12. Obama wa Bongo

    JamiiForums Tanzania JF kumekucha: Nioneshe Deo Kisandu ili nikuoneshe Dennis Roberts!

    Mwalimu Deo kisandu alikuwa ma changamoto za afya akili,Serikali badala ya kumsaidia ikamgunga jela... Alikuwa anafurahisha jamvi humu ndani, Kuna mwamba alikuwa anajiita Dr holy grail mwemezi alikuw burudani sana
  13. Obama wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

    Huyu jamaa niliona nae miezi miwili iliyopita Kwenye msiba wa Professor Sarungi osterbay nyumbani na karimjee siku ya kuaga mwili, Sijui ni Dr wa nini ila kwa maongezi yake sidhani Kama ni PhD, Dini yake ni msabato, ni mwana ccm kindakindaki, na aliniambia alishawahi kuwa mtangazaji kwenye...
Back
Top Bottom