Recent content by obadia98

  1. obadia98

    GE2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

    Kama n kweli huo ulikuwa ni mpango wa kumchafua DC, basi master mind wa huo mpango hajatumia akili,, coz hapo hamjamchafua DC Bali mmeichafua Serikali ya ccm kiujumla, kwasabu hata huyo DC amewekwa hapo na serikali ya ccm
  2. obadia98

    GE2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

    Mapapa kvp akati mmoja wa hao vijana ameshasema kuwa, walitumwa na DC pamoja na OCD na waliahidiwa kulipwa elfu 20 kila mtu... NB:Yani mtu unaamua kurisk maisha yako kisa elfu 20 kwelii
  3. obadia98

    Wananchi tuwe makini na CHADEMA

    Hey dude, are you a product of bursted condom[emoji57]
  4. obadia98

    GE2020 Kwa historia ya CHADEMA na tabia zao kuna uwezekano wanajifanyia vurugu ili wapate huruma

    Kada mwenzenu wa ccm aliefariki kwenye fujo ziliizotokea bomang'ombe,,, Mungu ameamua kumfufua ili aje atoe ushuhuda na kuwahasa vijana wenzie waache kutumika kisiasa na chama tawala
  5. obadia98

    CHADEMA msilazimishe kusema ofisi imechomwa moto

    Umekimbilia kumsema mnyika, umesahau kuwa ndugai nae hakuna kitu anchofanya kule kongwa zaidi ya kufuga kipara na kitambi tu,,nenda kule jimbo lake LA kongwa ukaone,,,kongwe ni sehemu ya hovyooo,,kongwaa haina maendeleoo,,wananchi wa kongwa wana hali ngumu,,kongwa miundombinu ni mibovu yani...
  6. obadia98

    CHADEMA msilazimishe kusema ofisi imechomwa moto

    Mwenye kuleta maendeleo kwenye majimbo ni serikal na sio wabunge,,,,Wabunge ni wawakilishi au wawasirishaji au wasemaji wa kero za wananchi kwa serikali
  7. obadia98

    CHADEMA msilazimishe kusema ofisi imechomwa moto

    Kwani Lissu mlimpiga Risasi ili iwe nini
  8. obadia98

    CHADEMA msilazimishe kusema ofisi imechomwa moto

    Kama kweli serikali haihusiki na hili tukio, basi tutegemee kuona serikali ikifanya uchunguzi na kubaini chanzo au wahusika wa tukio hilo na kuwachukulia hatua,,ila kama sitashindwa kuwabaini wahusika wa tukio basi ni dhahiri kuwa serikali yenyewe ndio itakuwa imehusika na kuchoma moto hizo ofisi
  9. obadia98

    CHADEMA msilazimishe kusema ofisi imechomwa moto

    We kajamaa unachekesha sana,,,, sasa hao wahuni na madarava boda boda si ndo wapiga kura wenyewe,,,au wahuni hawarusiwi kupiga kura
  10. obadia98

    Yaliyojiri: Mapokezi ya Tundu Lissu Jijini Arusha - Ijumaa 14 Agosti, 2020

    unakula vyombo asubuhi hii[emoji3] au umepoa tu[emoji41]
  11. obadia98

    GE2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

    Asante kwa kunisahihisha,,, naomba urejee comment yangu ndugu, nilisema hivi "NAWASALIMIA SANA WALE WOTE WALIOKUWA WAKISEMA UPINZANI UMEKUFA" niliongelea upinzani wote kiujumla na hakuna sehemu niliyo mtaja Lissu.
  12. obadia98

    GE2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

    Mzee naona kwenye comment yako umesema kuwa "watu wengi wanaenda kumshangaa Lissu kwasabu alipigwa lisasi" but nazani lile nyomi la Maalim seif kule zenji uliliona,,,,kwani Maalim seif nae alipatwa na matatizo au alipigwa Lisasi????
  13. obadia98

    GE2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

    Msingi wa hoja yangu ni kwamba upinzani haujafa ndiomana unaona tumesimamisha wagombea kuanzaia ngazi ya udiwani mpaka uraisi, na wanakubalika na wananchi,,,so hii inaonesha dhahiri kuwa bado tupo ngangari,,
Back
Top Bottom