Recent content by Nzuamukende

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwa nini Serikali imefanya hv!

    Baba V, mm sio mgeni? Ila inashangaza unavyomwambia mtu atumie nauli yake halafu utamlipa akifika kambini katika dunia hii ya teknoljia juu. Enzi za wazazi wetu hayakufanyika haya.why today?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwa nini Serikali imefanya hv!

    Kuanzia tar 04 machi 2013, zaidi ya wanafunzi 1000 waliohitimu kidato cha sita walianza mafunzo ya Jeshi la kujenga taifa. Ni wazo zuri na sina pingamizi nalo hata kidogo. Mimi ni mmoja wa wadau ambao wamehusika ke sehemu na utaratibu huu kwa sababu dada yangu yuko huko. Hv ni kweli kwamba...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Samsung s3

    Ili unizidi kete au? Hahaha
  4. N

    JamiiForums Tanzania Samsung s3

    Kwa yeyote anayeuza simu(samsung galaxy s3) hyo hapo juu(second hand), anitumie PM kwa maelewano zaidi.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naamini mume wangu atapatikana humu JF

    Umeshampata
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mpya

    Karibu,
Back
Top Bottom