Recent content by NZONG'A

  1. N

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    LOWASA, wanao sema humu Ni porojo waongo wakubwa, mm binafsi Niko kijini bumb uli. cha msingi UKAWA ANDAENI mawakala waaminifu wasionunuliwa. maana JANUARY MAKAMBA atashinda kwa wizi wa kununua mawakala
  2. N

    Nini kifanyike ili kuzuia goli la mkono

    wadau wakati sasa umefika kujitahidi kupost mbinu mbalimbali za wizi wa kura. humu jf wengi hupita kwa kusoma tu. kama mm. mm Niko kijijin kabisa naombeni mnipe mbinu ili niendeleze harakat za kuzuia for LA mkono. wadau naomba ushauri maana mm no mchanga kwenye hhii siasa
  3. N

    Ratiba ya Kumtambulisha Lowassa kwa wananchi

    ukweli lazima uume. mtake mistake historian itaandika duniani kifo cha ccm. rtiba itatoka Leo.
  4. N

    CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    kaka hongera kwa kwa uchambuzi maakini ammmbo kimsingi huonesha mttazamo mzuri wa saa za o
  5. N

    Ndugai kufikishwa mahakamani kwa kosa la kumpiga Dk. Joseph Chilongani, atishia kujitoa CCM...

    Laki Hawa mssiem hua ndo vinara wa kuanzisha fujo. Kwan hats bungeni yy neo wa kwanza kuanzisha Fuji. Laana hiyo
  6. N

    Lowassa Rais UKAWA, Mwenza - Slaa, Lipumba - Waziri Mkuu, Zitto naye ndani

    japokuwa sipo huko kwa uongo huu huyu anafaabkuwekwa ndani
  7. N

    Lowassa awaingiza mjini wananchi wa njombe, vijana wa bodaboda walioahidiwa mshiko washikwa butwaa

    Jamani someni alama za nyakati ! Chukua pesa kisha tambaa mbele huo ndio mpango mzima!
  8. N

    Edward Lowassa special thread

    watanzani wenzangu ama kwel nimekubal ss ni mabingwa wa kusahau. yaan methal zote kitaan za uchafu. wiz, uporaj wa mal ya uma tena dhahir shair. lakn leo "et hausk wanamsingizia" ok, sasa naomba tumuulize wiz ule ulikuwa wa nan? na kwa nn yey alkubal kubeba lawama? na pia anae mficha mwiz na yy...
  9. N

    Naomba kupokelewa humu ndani

    Ndugu wanajamvi kwa moyo mkunjufu na Hekima naomba kupokelewa kwenye jukwa hili. Ili na mm niweze kuchangia kama mtanzania nipo Tanga Bumbuli.
  10. N

    Kwanini watia nia urais CCM hawaongelei Katiba Mpya?

    Hakika atakaye ikana katiba ya CCM (katiba mpya) yeye atakuwa raisi wa kweli ndani ya nchi hii
  11. N

    Maonao ya mkulima wa Kijijini, kuhusu hatima ya nchi hii

    Ndugu watanzani wenzangu. Mm kwa mara ya kwanza naingia humu kueleza maono yangu kutoka kijijini kuhusiana na hatima ya nchi hii. Hii ni kutokana na utitir wa wanaojiita ccm ama wenye dola kuchua fom et kutaka uraisi. Nilikuwa nikijiuliza sana maswali yafuatayo, 1. Hiv wote waliochukua fom...
  12. N

    Edward Lowassa: Nasali sana ili nipate Urais

    Yeye ni jembe
Back
Top Bottom