Umesema ukweli kabisa Ndugu.
Labda nikukumbushe kitu tu. Mwisho wa ubaya huwa ni aibu. Kuna watu wanaona aibu kwa sababu ya ubaya waliomtendea Tundu Lissu. Lakini wenyezi Mungu, aonaye kila kitu, asiyehitaji mashahidi wa kumthibitishia, na anayehukumu kwa haki, atamhukumu kilamtu kwa haki na kwa...
Heri ya mwaka mpya 2019.
Natumaini uko salama. Naomba kujua hali ya ndugu yakoaliyekuwa na shida ya tumbo, anaendeleaje? Kama bado ana shida, nikupe maeekezo ambayo naamini yatamsaidia.
Asante.
Kwanza Kabisa, mtu Yeyote akifanya kosa lolote a Apasia kuchukuliwa hata za Kisheria na sio kumiminiwa risasi. Serikali Yetu haiwezi Kaka a kutokuhusika kwa namna Moja au nyingine, kwa S.A. Babu zifuatazo:-
1. Imekuwa ikiagiza Tundu Lissu akamatwe kila akitamka Jambo linaloigusa.
2. Imekuwa...
Nashauri apate vipimo hospitali yenye vifaa vya hali ya juu, yenye uwezo wa kuona matatizo ya ndani kwa usahihi. Kisha baada ya kupata majibu, awe na tatizo kubwa au la, atumie Vemma Mangosteen. Tembelea website hii: Vemma Europe: Discover a Nutritional Powerhouse - The Quality of your life...
Hakika tunatakiwa kusoma nyakati. Pamoja na ukweli kwamba tunahitaji kuni/mkaa kupikia, lakini je, kuna uwiano gani kati ya matumizi na upandaji wa miti? Miti inachukua muda mrefu kukua na kufikia muda wa kuivuna. Lakini wakataji wanakata kwa wingi sana, wakijali masilahi yao tu kifedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.