Recent content by Nzilo

  1. Nzilo

    Je, Ushindi wa CHADEMA ni Ushindi wa UKAWA 2015?

    Hakuna mbinu ya UVCCM hapo... hiyo ni hoja na mtizamo wangu..
  2. Nzilo

    Je, Ushindi wa CHADEMA ni Ushindi wa UKAWA 2015?

    Ni muda mrefu toka kuundwa kwa UKAWA ambayo siyo chama.... nilipata wakati mgumu sana kujua kama ni chama au ni shirikisho? lakini pia nilipata wakati mgumu baada ya kugundua kuwa hakukuwa na mkataba wowote wa muungano huu bali tu ni makubaliano... Suala lingine ambalo silipatii majibu ni...
  3. Nzilo

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Kila mtu ana mtizamo na mawazo yake kwa kadiri ya upeo wake wa kuyaona mambo mbalimbali... yawezekana upeo wako pia ni mdogo kwa mtizamo wako km angeliuona uzi wako... muda wa kuwa bendera fata upepo uishe na baadala yake tuwaze kwanini haya mambo yanatokea baadala ya kukaa na kuwatuhumu...
  4. Nzilo

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Napata sheeda kuelewa mpaka sasa sijawahi ona duniani mtu akahama chama usiku afu hajui misingi ya chama na asubuhi asubuhi anaaminiwa kugombea wadhifa mkubwa ndani ya chama? Hii imani imetoka wapi na tangu lini? Watz tufanye tathmini na si ushabiki usiokuwa na tija...
  5. Nzilo

    Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

    Kuhusu lipumba kuhongwa hela na CCM na Mbowe kununuliwa na Lowassa... imekaaje hii?
  6. Nzilo

    Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

    Kuna mambo ya msingi nahitaji kuyafahamu kwenu wachambuzi wa masuala ya siasa... 1. Je, ni vibaya kutofautiana mtizamo na mawazo ndani ya chama chako? Km. ilivyotokea kwa Dr. Nchimbi, Dr. Slaa na sasa Prof. Lipumba 2. Je, ni dhambi kwa mwanachama wa vyama vinavyounda UKAWA kuhama chama?
  7. Nzilo

    DAY 2: Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015

    Binafsi sioni kama mgomo wa madereva ni tatizo.... Tatizo ni kugoma bila kutoa taarifa za mgomo mapema ili wasafiri wajipange mapema hasa wale waendao mikoani.... "Kimsingi wanayo madai ya msingi coz hata kufanya kazi bila mkataba nalo ni tatizo kubwa sana...." binafsi mgomo huu umeniathiri kwa...
  8. Nzilo

    Kikwete atunukiwa tuzo ya demokrasia Afrika

    Hongera sana Mh. Dr. J. K..... tunayo haki ya kujivunia mafanikio yako kama Rais wa Tanzania na Kiongozi shupavu katika kuimarisha demokrasia nchini... Ikumbukwe pia kuwa tuzo hizi hupewa watu wachache na wenye moyo wa kuziendeleza nchi zao na kuzifikisha katika mafanikio makubwa.... Hakika...
  9. Nzilo

    Kikwete atunukiwa tuzo ya demokrasia Afrika

    Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana....!! Sasa Kikwete anahusikaje na mauaji ya watu katika mazingira hayo ya kutatanisha kama unavyosema...
  10. Nzilo

    Kikwete atunukiwa tuzo ya demokrasia Afrika

    Evidence....!!!
  11. Nzilo

    Kamati ya Bunge Maalum la Katiba hatimae imependekeza kwa Rais posho ya tshs 500,000!

    Usiufurahishe umma... Nisaidie kutafsiri hili neno... maana ya Pro-active.... Na je, wakati wanapinga posho Bungeni hawakuwa wanatafuta sifa?
  12. Nzilo

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mzee Said Arfi kufukuzwa CHADEMA?.

    Mkuu naelewa fika kuwa Katiba na Miongozo ya chama ndiyo uhai wa chama lakini wanaoongoza chama ni binadamu... nahisi tatizo si chama tatizo ni Uongozi ndiyo agenda kuu... tukubali kwanza kuwa makosa ya kiutendaji yapo then Uongozi ujisahihishe na kuacha kuishi kwa visasi vya hawa wa Mbowe na...
  13. Nzilo

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mzee Said Arfi kufukuzwa CHADEMA?.

    Chanzo cha habari... wengine tuko mbali na Kalenga!!
  14. Nzilo

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mzee Said Arfi kufukuzwa CHADEMA?.

    5.2 Haki za MwanaChama Kila mwanachama ana haki ya:- 5.2.1 Kuchagua viongozi wa Chama wa ngazi anayohusika kwa mujibu wa katiba. 5.2.2 Kuchaguliwa kuongoza na kuwakilisha Chama katika ngazi yoyote kwa kuzingatia masharti yaliyowekwa ya sifa za uongozi. 5.2.3 Kushiriki vikao vya Chama...
  15. Nzilo

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mzee Said Arfi kufukuzwa CHADEMA?.

    Au Tanzania Daima Pole sana...!! kwa kuwa ndivyo vyombo vinavyofunika maovu ya CDM....!!! Hahahahahahahaahahahahahahahahaaha:smile-big:
Back
Top Bottom