Mkuu halikuwa lengo ila wakati mwingine ili watu wakuelewe ni muhimu kuambatanisha andiko na vionjo vya namna hiyo.
Niwie radhi kama imekuwa kero.
Ahsante.
Elimu ni muhimu sana kwa kiongozi yeyote katika ku-run Taifa mpaka mtaa kwa Dunia ya Sasa. Mambo yameshakuwa overrated sana, kwa hiyo anatakiwa kiongozi ambaye yuko very very updated na Scenes za eneo husika.
Tunashuhudia Kuna fursa nyingi huwapita walengwa na hii yote kwa sababu tuna viongozi...
Katika maisha haya tunayoyaishi hapa Duniani Kila bin Adam ni Safi kabisa iwapo tungekuwa hatukutani na binadamu wengine.
Ila kwa sababu tunakutana Sina budi kusema 'The atmosphere is no longer the same'. Na hii kwa sababu katika kukutana kwetu tunakoseana sana.
Na siku zote bin Adam ndiyo...
Kufumaniwa inaweza isiwe shida ila shida itakuja kuonekana pale tu mwenza wako;-
na
Mimi labda niseme kitu hapa Leo. Katika Dunia ya Sasa watu wengi huingia katika ndoa wakiwa bado hawako tayari kwa maisha ndoa hali ambayo hupelekea kushindwa kuhimili changamoto zilizomo ndani yake.
Wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.