Recent content by nywelenyingi

  1. N

    Ule unga unaotoka kwenye ngozi ya korodani husababishwa na nini na tiba yake ni nini?

    hahaha ndo maana ilibid nihoji vzr huenda huyo alikosea kuandika
  2. N

    I'm still waiting for her message 😔

    licha ya kuwa manz hakuelewi still unaonekana kukijua vyema kingereza
  3. N

    Nataka kumtongoza rafiki yake, yeye ni mpotezee kabisa

    mwanamke mwenye hisia na ww hawez kukuzungusha kiasi hicho,tafute mwngne NB kakiksha ana kiuno
  4. N

    Ukipata pesa hakikisha unatulia nyumbani kwako

    kweli nifumue m200 sehem halafu et tabia isibadilike hata kidogo???
  5. N

    Ukipata pesa hakikisha unatulia nyumbani kwako

    hakuna faida ya kufa ukiwa mzima wa afya
  6. N

    Kuwa makini na Apps za Mikopo

    nmeblock no zao 15.
  7. N

    Evelyn!!! Siku saba ngumu zaidi nilizowahi kuzipitia maishani

    nimenogewa na kisa hiki ghafla nashangaa tena walimu wanatolewa mifano,hahaha daaa
  8. N

    Wakuu, mke wangu nimemchoka

    haya maisha bana ndoa nyingne unakuta mwanamke:mume wangu jana ulinifunga sasa leo hadi nitoe draw mwanaume:hahahaa mkewangu leo tena nakufunga tena magoli 5 mwanamke;thubutuuuuu mwanaume (tayar msuli umetuna kwa ajili ya pambano)
  9. N

    Ni red flags zipi ukiziona kwenye mahusiano mapya unaanza kutafuta mlango wa kutoka?

    mwanamke ili adumu na mimi 1.yeye ndo awe ananitafuta mara nyingi mfano. mimi nikimtafta mara moja yy anitafute mara 5 (kwasbb muda mwing nautumia kutafuta hela za kutumia naye na kufanya maendeleo) 2.HESHIMA
  10. N

    Kwanini mitandao ya simu inatoa namba zetu kwa wafanyabishara wa kamari bila ridhaa yetu?

    inakera sana ila kwenye sheria na kanuni waliandika kabsa,huna pa kuwapeleka,watasema uliaccept terms en condition
  11. N

    Je, nikimuoa naweza nikampenda?

    mkuu,kuna wengne 4 wapo kama huyo huyo ,sifa hzohzo ,kunipenda hukohuko,kunithamini hukohuko ila moyoni nimeshachagua mmoja wa kuja kuishi naye, changamoto kubwa niliyonayo sipo vzr kiuchumi,muda naoutumia kutafuta hela sometimes unaniondolea hisia za kuwa na familia kwa sasa.
  12. N

    Je, nikimuoa naweza nikampenda?

    Habari za majukumu ndugu zangu, nipo hapa kuomba ushauri wa kimahusiano natumaini ntapata majibu ya hiki kinachonitatiza. IPO HIVI Miaka miwili nyuma niliwahi kuzoeana na mdada mmoja, kiumri namzidi miaka miwili, nilifahamiana nae kipindi nimeenda kijijin kuwasalimia wazazi na kupata baraka...
  13. N

    Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

    _JAMAA ATAKAYEMKUTA "madam leo niko bored tutoke bas out" "madam sijui kupika njoo bas unisaidie " "madam leo sijakuona kazini naskia unaumwa,ntapita kwako kukusalimia" "madam twende gym" "madam kuna zawadi yako hope utaipenda" _WEWE HAPO baby usiku mwema naomba usinicheat huko...
Back
Top Bottom