Recent content by Nyundo ya shujaa

  1. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hiki nachosikia ndio 'Hotuba ya Kuponya majeraha na kuunganisha taifa" kutoka kwa Rais aliyotuahidi RC Chalamila?

    Naona ni kama anataka akiingia rais kutoka bara nae aue wazanzibar ili kisasi kiendelee. Leo ametuthibitishi yale tuliyoyasikia ni ya kweli
  2. N

    JamiiForums Tanzania Samia: Yaliyotokea Oktoba 29 yalitokea pia Zanzibar mwaka 2001. Hakuna jipya! Je, tuamini ni kisasi cha wazanzibar dhidi ya watanganyika?

    Nadhani ni vema wahusika wa mauaji Zanzibar na mauaji ya tanganyika yote yachunguzwe na wahusika wafikishwe mahakamani. Shahidi namba moja wa mauaji ya Zanzibar awe samia
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lilikuwa na lengo la kuleta machafuko nchini DRC

    Ee Mungu linusuru taifa letu dhidi ya wauaji
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kitima, elewa kuwa dunia imebadilika. Ujerumani iliangushwa na Uingereza na sasa Itaangushwa na Uingereza - Tanzania tupo Commonwealth

    Apandacho mtu ndicho atakachovuna, serikali ya awamu ya sita itavuna ilichopanda kama ilipanda mema itavuna mema na kama ilipanda mabaya itavuna mabaya.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Sarakasi za Mwigulu; leo yupo Arusha kukagua “uharibifu”

    Kabla ya kuwa waziri mkuu mwigulu aliwahi kulisaidia nini taifa lefu kipindi akiwa kwenye nyadbifa alizokuwanazo?
  6. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Updates: Matukio muhimu kuhusu Maandamano ya tar. 29 Oktoba 2025

    Ukweli ni kwamba kama ikitokea mkoa mmoja wakaandamana basi maandamano yataripuka nchi nzima. Watu wamejaa hasira mioyoni wanatamani wawepo wa kulianzisha waunge humohumo
  7. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kauli ya Andrew Nyerere juu ya CHADEMA isilazimishwe kuwa kauli ya Familia ya Mwl. Nyerere japo kuna ukweli kuwa Demokrasia iko ICU!

    Mkuu Genta nilikuwa nakuheshimu sana lakini kwa uzi huu umejishushia heshima yako. Unadhani kwamba ccm mtandao wanafanya hayo wakiwa hawajui wanachofanya? Eti wajitafakari? Kwani wanataka kujitafakari? Alikupa mfano wa chura kiziwi inamaana hukuelewa? Kama si kauli ya familia ya hayati baba wa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pamoja na Tume ya Uchaguzi kutoa ratiba. Lakini dalili ziko wazi Uchaguzi Mkuu hautakuwepo

    Amina👃🏾👃🏾👃🏾👃🏾
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ubalozi wa Canada Tanzania, watahadharisha raia wake kuhusu Oktoba 28 na 29

    Hivo ndivo ccm wanavoamini
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Finally, I'm that auntie from dad's side!

    Njoo nikuoe lee naamini nitakuheshimisha
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Wabheja sana
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Loading........
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Thanks
Back
Top Bottom