Habari wapendwa,
Mimi ni kijana ninaejitambua na mwenye malengo, nina miaka 31 naishi Dodoma. najitokeza kwenye jukwaa hili kwa lengo la kutafuta, mwanamke tutakaeweza kuanzisha urafiki/mahusiano yatakayozaa matunda ya kua mke na mme kama tutaendana.
Natamani nipate mwanamke alie serious...