Kwanza sinahakika na taaluma yako ndogo uliyonayo, mpaka ikakufanya hata kujua mawazo ya hao wadau wa Gesi kuwa na mipango ya maendeleo ya Mtwara bila kuiweka wazi kama wafanyavyo katika mipango ya kuisafirisha Gesi hiyo.......Pia nataka uwekeakirini concept moja isemayo " Economic development...
Pole sana Wana Mtwara, Lakini wakutoa tamko lamwisho wapo wapi? Gesi ni lazima iwanufaishe watu wa mtwara kwanza....... ili kuepusha vurugu na hata hujuma hapo baadae... nahili litawezekana endapo processing itafanyikia Mtwara na sio vnginevyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.