Recent content by Nyota Ndogo

  1. Nyota Ndogo

    JamiiForums Tanzania Rostam hana nyumba Igunga!

    this information is from a reliable source and is true. HE Rustam Aziz has no shelter of his own in Igunga. hana hata banda la kuku. hii ndiyo Tz.
  2. Nyota Ndogo

    JamiiForums Tanzania Madaraka ya Raisi wa nchi ni yapi?

    Inategemea na nchi. Hap a kwetu madaraka ya rais ni usanii.
  3. Nyota Ndogo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    huo uchafu wako wa toilet hautakiwi hata kuunganishwa. ilipashwa kuwa trashed kabisa.
  4. Nyota Ndogo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    anajulikana kwa ukuwadi na unafiki huyo, usihangaike naye mkuu.
  5. Nyota Ndogo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    ni ukoo wenu tu na hao polisi ambao bado hawajaamua kuwasaliti.
  6. Nyota Ndogo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    sasa kama wewe ni kuwadi kwa nini usiitwe kuwadi? eti kuwadi vipi kuwadi acha kubwabwaja wewe kuwadi.
  7. Nyota Ndogo

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    natamani 2015. hamtashinda. waTZ wa leo tunaujua ukweli. ccm wote wanaofurahia
  8. Nyota Ndogo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    kwani wake za obama,sarkozy na cameron walikuwapo Libya? mkuu hulali?
  9. Nyota Ndogo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    hahaha. mkuu wanajeshi wenyewe wanashangaa jinsi waTZ walivyo waoga. hiyo nidhamu unayoisema ipo kwa kina shimbo tu. wale madogo wengine wanaoishi nyumba za kupanga wanasubiri ishu kama ya NMC ikolee na hautaamini utakachokiona.
  10. Nyota Ndogo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    hata kwa alphabet tu Arusha ni mkoa wa kwanza ukiorodhesha mikoa. Please Arusha ... lead by Example.
  11. Nyota Ndogo

    JamiiForums Tanzania Hongera Lowassa kwa Shule za Kata

    hakika katika mafanikio ulowahi kuyapata katika himaya yako ni kujenga shule za kata. zimesaidia sana katika ku-promote uhuru wa fikra wa vijana/watoto wa Kitanzania. vitoto vidogo vimemaliza shule ya msingi juzijuzi tu lakini vina taarifa ya mambo mengi mema na mabaya yanayoendeshwa na...
  12. Nyota Ndogo

    JamiiForums Tanzania Hili la Godbless Lema ni la kuiga, kubeza au kuunga mkono?

    karibu mkuu. tuambie how did you know about JF?
  13. Nyota Ndogo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaikosea dhana ya Demokrasia

    napita.
  14. Nyota Ndogo

    JamiiForums Tanzania Hili la Godbless Lema ni la kuiga, kubeza au kuunga mkono?

    omba yote kwa Mola wako na katika sala zako muombe Mola akuepushe kuwa mtu wa kufikiri kwa kutumia masaburi.
  15. Nyota Ndogo

    JamiiForums Tanzania Hili la Godbless Lema ni la kuiga, kubeza au kuunga mkono?

    baadhi ya wakigoma kama wewe akili zao kama interahamwe. sasa hapa umeongea nini? pumbaz!
Back
Top Bottom