Recent content by Nyota Angani

  1. Nyota Angani

    JamiiForums Tanzania Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

    Habari mkuuu Vp usha fanikisha malengo Yako?
  2. Nyota Angani

    JamiiForums Tanzania Nataka kuishi nje kabisa ya mji na mbali kabisa na jamii pembezoni ya milima (mountains cabins life)

    Hapana siendi kutalii ,.nitakaa huko Kwa maisha yangu yote.. Kuhusu pesa za kujikimu kweli ni muhimu na nalipa kipaumbele.
  3. Nyota Angani

    JamiiForums Tanzania Nataka kuishi nje kabisa ya mji na mbali kabisa na jamii pembezoni ya milima (mountains cabins life)

    I It's an introvert's dream and an extrovert's hell . you're welcome
  4. Nyota Angani

    JamiiForums Tanzania Nataka kuishi nje kabisa ya mji na mbali kabisa na jamii pembezoni ya milima (mountains cabins life)

    😅😅😅upo sahihi Kwa sababu ni Fikra zako .
  5. Nyota Angani

    JamiiForums Tanzania Nataka kuishi nje kabisa ya mji na mbali kabisa na jamii pembezoni ya milima (mountains cabins life)

    Hongera twin, Mungu alimuweka mwanadamu aishi kwenye bustani Wala sio mjini😅
  6. Nyota Angani

    JamiiForums Tanzania Nataka kuishi nje kabisa ya mji na mbali kabisa na jamii pembezoni ya milima (mountains cabins life)

    Sijakata tamaa mkuu Wala sijaelezea kua nimekata tamaa kwenye Uzi wangu hayo ni mawazo yako . Kuhusu elimiu ni kua, brain washed education Sito itarajia Kwa watoto wangu full stop
  7. Nyota Angani

    JamiiForums Tanzania Nataka kuishi nje kabisa ya mji na mbali kabisa na jamii pembezoni ya milima (mountains cabins life)

    Ohh vizuri Mpenda mazingira mwenzangu, vp kuhusu ww Usha fanikisha kuishi maeneo ya ndoto zako unipe experience
  8. Nyota Angani

    JamiiForums Tanzania Nataka kuishi nje kabisa ya mji na mbali kabisa na jamii pembezoni ya milima (mountains cabins life)

    Kweli kabisa .Napenda Nyama sungura pia I hope nitaenjoy
  9. Nyota Angani

    JamiiForums Tanzania Nataka kuishi nje kabisa ya mji na mbali kabisa na jamii pembezoni ya milima (mountains cabins life)

    😅😅 Ndugu ulienda kuishi mbugani Wala sio maeneo yalio jitenga ., pole yako
  10. Nyota Angani

    JamiiForums Tanzania Nataka kuishi nje kabisa ya mji na mbali kabisa na jamii pembezoni ya milima (mountains cabins life)

    Oky nifanye research ya huko lushoto na Kivipi Akili zisiwe sawa nikikaa pembezoni ya milima?
  11. Nyota Angani

    JamiiForums Tanzania Nataka kuishi nje kabisa ya mji na mbali kabisa na jamii pembezoni ya milima (mountains cabins life)

    Uhalifu upo mjini Kwa asilimia kubwa,vijijini wezi hamnaga .Labda waje tokea town na wakija Huko kijijini nitako jitenga watajua mie mganga wataogopa 😀😀
Back
Top Bottom