Recent content by Nyope4

  1. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

    Huyu nae aache kiherehere
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo

    Aongoze nchi kwa kufuata misingi ya Haki sawa kwa wote, Amani itakuja yenyewe
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mke wa Lissu anaona mbali sana, mwezi sasa ameona ajiweke mbali na kampeni

    Make wa Rungwe au wagombea wengine unawajua? Kwani anayegombea ni mke?
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 RC Songwe: Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe umeiacha vizuri unaweza usirudi au ukarudi mlemavu

    Wanaoamini katika mapambano ya kujikomboa huwa hawaogopi kifo, kwa vile hakuna kiumbe kitakacho Ishi milele hivyo hiyo mikwara haisaidii sana
  5. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu: Nikishindwa kwa haki nitakuwa wa kwanza kujitangaza

    Nani kasema atajitangaza, Elewa lugha
  6. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna mahali CCM ilikosea?

    Hawakujua kuwa upinzani ni wananchi waliochangua wabunge wa upinzani, hivyo kununua wabunge wa upinzani ukidhani kuwa unaua upinzani ni biashara kichaa. Ukitaka kuua upinzani tatua Shida za wananchi ili upinzani ukase hoja
  7. N

    JamiiForums Tanzania Polepole: October 28 tutawafundisha adabu, watu hata msukule huufuata!

    Wenye busara wamsaidie bwana Polepole kutumia hekima Katika matamshi yake. Kasema kwamba watanzania wenye akili timamu anamaanisha kwamba wanaoenda wenye mikutano ya wengine hawana akili timamu? Anajuaje kama wanaokwenda kwenye mikutano ya wapinzani wote watachagua upinzani na siyo Chama chake...
  8. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Mwigulu akalia kuti kavu Jimboni, kuna kila dalili hatorudi, Jesca Kishoa amkalia kooni

    Nani ataamini taarifa Zako wewe?
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Salumu Mwalimu: Biashara zote za Serikali kubinafsishwa

    T unaelewa maana ya kufanya biashara na kutoa huduma?
  10. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sumaye aichokonoa CHADEMA. Asema Vyama vya Upinzani haviwezi kuongoza nchi kwa sababu hawana sera

    Panya akitaka jina hujipitisha kwa watu, Enzi Zake alikuwa akiitwa ZERO huyu Kali miss jina Hilo labda.
  11. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Tatizo la mgombea wenu haombi kura kwa makundi yote na kwa wafuasi wa vyama vyote
  12. N

    JamiiForums Tanzania Suala la kutekeleza miradi mikubwa nchini kwa fedha yetu ya ndani limetupa maumivu sana katika awamu hii, sio la kujivunia wala kujisifia hata kidogo!

    Hilo la faini za polisi barabarani ni shida kubwa. Ukiwa na gari TZ unageuzwa mradi wa kukamuliwa pesa. Polisi wa barabarani ni wengi kuliko polisi wanaolinda raia na Mali zao!
  13. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu umati usikudanganye, wengi hawajajiandikisha

    Sawa, endeleeni kujipa matumaini, tanga linatweta
  14. N

    JamiiForums Tanzania Dkt. Wilsom Mahera simamia msimamo wako

    Ni msimamo wake au wa kupewa?
Back
Top Bottom