charminglady , asante kwa mchango wako. Hasa nataka kujua ya Kiserikali ukifunga (sitaki kuuita ya mkataba kwasababu kuna watu wameanza na hiyo hadi umauti ukawatenganisha) unakua mbele za Macho ya Mungu unahesabika kama mzinzi ama? na kama kwa RC nitaruhusiwa hata kukomunika?
Habari !
Mie ni mkristo, ninataka kufunga ndoa. Ila taratibu za ufungaji wa ndoa zetu ni ndefu. Naomba kuelimishwa ama kujuzwa uhalali wa ndo za kiserikali kuhusiana na imani ya ki kristo.
Namaanisha, unapokua umefunga ndoa kanisani, unakua hauzini ila inakua halali kwako kukutana na mkeo au...
habari! Wapendwa, naomba mwenye ufahamu juu ya uingiaji wa nchi ya uingeleza ( UK ) kwa shughuli za kimasomo, kama ukiwa ume athirika na virusi vya ukimwi kama unaweza kuruhusiwa kuingia katika nchi yao.
Imetokea roho yangu kuvutika sana kwa huyu dada, usiku kucha wakati mwingine hua nakesha namuwaza. Ivi hili ni tatizo la kumpenda huyu mtu linaweza kua limesababishwa na nini ?
je? computer archtecture anaweza fanya pia. na kati ya hizo ulizo nitajia ipi ni markatable duniani, wakati wote na hai chuji. pia ni chuo gani kizuri kwa hapa africa ni kizuri kwa masters za computer coure.
Habari wana JF!
Naombeni ushauri wenu.
Kwa mtu aliesoma Bachelor Degree in Computing, ni course ipi ya Master inaweza kua bora zaidi kwake na ikaendana vizuri na degree yake ya kwanza.
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.