Recent content by Nyombesi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Zitto tayari umepigwa Goli la kisigino kwenye Media

    soma Rai Tamzania toleo la leo Jumatatu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wakimbia nyumba baada ya Bundi kulia juu ya bati

    mimi nataka niwafuge bundi kama 10 hivi mtu akinizingua naenda kumfunga nyumban kwake
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mishahara Jeshini, inatolewa kwa kuangalia umri wa kazi au Cheo cha Askari?

    kuna waaovaa saa mkononi wanaitwa sir Meja....zipo saa za aina mbili saa ya kwanza inamwenge na saa ya pili inabibi na bwana.....huyu mwenye saa ya bibi na bwana ndio cheo cha mwisho kwa lever ya askari.....na hawa ndio huwa wakuu wa nidhamu katika kambi....wanamshara mkubwa kuliko hata Captain
  4. N

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo kushinda uchaguzi mkuu Oktoba kama chama cha APC cha Nigeria

    tunakwenda kushika dola..Dunia itashangaa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rai ya wazi kwa Zitto Kabwe

    kila kitu kitakuwa wazi msiwe na haraka ACT Tanzania mzalendo wa kweli
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wajumbe waanza kumiminika Kwenye Mkutano Mkuu wa ACT- Wazalendo

    Wazalendo wote tujitokeze katika uzinduzi wa Chama chenye matumaini mapya
  7. N

    JamiiForums Tanzania ACT- Tanzania: Taarifa kwa vyombo habari

    Hata nbuyu ulianza kama mchicha ACT Tanzania inasonga mbele kwa mbele na kelele za Chura hazimzuii N'gombe kunywa maji
  8. N

    JamiiForums Tanzania Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    Slaa na Lisu wamerudisha kadi ya CCM lini acha unafiki
  9. N

    JamiiForums Tanzania Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Mtusi aliyotumia ni mazito sana
  10. N

    JamiiForums Tanzania `Sasa Unaingia Mkoa wa Mara Be Strong`

    nimecheka sana eti midume ya Dar
  11. N

    JamiiForums Tanzania Baraka Obama lazima alitafutiwa huyu Mwanamke!

    akiri zingine bwana hebu tuonyeshe mkeo kama umeoa au demu wako tuone yeye ni mzuri na mvuto wa kiasi gan..mke wa Obama mzuri kinoma ile mbaya
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Zitto Kigoma, Magdalena Sakaya wa CUF ndani

    kosa hapo liko wapi
  13. N

    JamiiForums Tanzania Basi la Simiyu express lapata ajali, lagonga mkokoteni na kusababisha vifo

    jaman ajari hizi haziwezi kuepukika kama mfumo ni uleule
  14. N

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ waleta ubabe barabarani, wapiga vioo vya magari wakitaka wapishwe

    nafikiri kwa picha hizo watatambulika na kuchukuliwa sheria za kanidhamu hakuna aliye juu ya sheria
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kweli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo

    unamlaumu mtoto wa miaka sita mbona kunamijibaba inakojoa hovyo chunguza kuta nyingi za nyumba zimeandikwa usikojoe hapa kwani inafikiri wanakuwa wameandikiwa watoto au wakubwa wazima
Back
Top Bottom