wajameni ufisadi siyo huo tuu.hata bank nazo wanatumaliza.
uwezi kuamini wakati mkuuu huyu wa crdb anaingiza hiki kimrija cha kuwamaliza watanzania alikuwa anatudanganya ni kusaidia walipa kodi kutembea na pesa kwa usalama wao,lakini watanzania wengi walijaribu kupiga kelele za kuuzwa kwa utu...
Mmmmm.ama Kweli Jf Ni Kiboko,mpaka Leo Thread Ya Ac Na Zt Na Mpj Imefikia 15,000 Na Ushee.
Kama Wanajf Wangekuwa Wanaxchangia Mada Zingine Kama Hizi Kwa Manufaa Ya Nchi Yetu Tungekuwa Tayari Kwenye Rekodi Ya Dunia,(geness Would)kwa Kushambulia Maovu Ya Nchi.
Na Watu Wangekuwa Wamepata Elimu...
Mpaka Kieleweke:
Kwanza Hata Kwa Mungu Utapata Dhawabu Kwa Kuanika Huo Hoozo Wa Huyu Mvunja Ndoa Za Watu,pili Itakuwa Fundisho Kwa Watu Wenye Kinywa Kirefu Kama Kenge,na Watu Watatumia Macho Yao Kwa Kuzingatia Mungu Alivyooanisha Matumizi Yake.na Si Kuona Ya Wengine Kwa...
Jf Natumaini Tuache Mazingaumbe,ac Na Zt Ni Watu Wenye Nyazifa Serikalini,pili Ni Watu Wanaoongoza Jamii,tatu Ni Wazazi Walioolewa Na Kuoa.
Mimi Binafsi Ningejaribu Kuwakumbusha Wa Na Jf Kuwa Siasa Ndivyo Zinavyoendeshwa U Pale Unapogusa Mahali Pa Wazee K8ila Jambo Litasukwa Ili Tuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.