Recent content by nyoka wa makengeza

  1. N

    Wanawaambia wazungurushe mikono ndio mabadiliko!

    Ukiwa umefuatilia utagundua kuwa chadema wamezitupa zile nyimbo zilizokuwa zinahamasisha jamii ichukie ufisadi na mafisadi sasa hivi kumpamba tu fisadi wao
  2. N

    Polisi wazuia matembezi ya amani ya BAWACHA Dar es Salaam

    Enzi za chadema asilia nilikuwa nasikitika sana,kumbe sikujua kuwa ni matapeli kwa sasa nasema WAPIGWE TUUU hawana adabu kabisa
  3. N

    Mahojiano ya Tido Mhando na Kingunge Ngombale-Mwiru - Oktoba 11, 2015

    hivi kwa nini baada ya dr slaa kuondoka chadema kimekuwa kimbilio la watu wenye makandokando, la kweli fedha mwanaharamu wanachadema tunadhalilika sana siku hizi tumekuwa icon ya utapeli
  4. N

    Siri ya neno mabadiliko kutajwa sana kwenye uchaguzi huu!!

    Mkuu nakubaliana wewe hiyo nguvu ya wajenzi huru imetamalaki
  5. N

    Tuwakatae wagombea mafisadi/wapiga dili ni hatari kwa ustawi wa nchi

    Mtu yeyote mwenye akili timamu anajua kuwa ukawa ni matapeli na wapiga dili,hili genge linataka kutuvurugia nchi,ccm itaondoka kwa siasa na mipango safi sio kutumia mafisadi papa yenye chuki chafu
  6. N

    Hivi kweli kuna Mtanzania mwenye akili zake timamu anaweza kuichagua tena CCM, kwa Lipi?

    Watanzania tutajuta ikiwa tutawaingiza ikulu mafisadi wapiga dili ndo itakuwa mwisho wa neema, ukiwatazama usoni mbowe,sumaye,lowasautawashtukia ni matapeli na ni hatari
  7. N

    Nani atashawishiwa na CHADEMA maslahi (mafisadi) ili aandamane?

    mnyika anachekesha cdm hii ya mafisadi haina uhalali kuandamanisha watu serikali iwe makini na matapeli hawa
  8. N

    Bao la mkono tume ya uchaguzi nec yagoma kutoa nakala tete softcopykwa upinzan mnyika atoa siku tatu

    Chama wamekiuza halafu anataka watu waandamane kwa ajili ya mafisadi,mi nasema akiandamana apigwe tu hii sio cdm ya dr slaa
  9. N

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Siamini kama ccm wamemkosea mzee kingunge kwa mara ya kwanza,kama ni hivyo kwa nini iwe ni wakati huu lowasa? ni aibu kwa mzee kama kuamua kupotosha umma kwa maslahi ya mafisadi
  10. N

    Askofu Gwajima amuonya Abdalah Bulembo na CCM waache kumchokoza mara moja!

    gwajima sio kiongozi wa dini,hata wewe ukisumbua kidogo akili utagundua
  11. N

    Dhana ya mfumo na mabadiliko

    Watanzania tusihadaike hatuna tatizo kubwa la kimfumo,tuna tatizo la ufisadi,kukosekana kwa uwajibikaji na utashi wa kiongozi mkuu,hivyo tunahitaji kiongozi anayechukia ufisadi na mwenye kuwakemea watu wakaufyata,aidha lazima awe mchapakazi,mfuatiliaji na mwadilifu hivyo tuache mihemko
  12. N

    CHADEMA badilisheni Mfumo wenu uendane na mgombea urais

    kwa hiyo mnawahadaa wana cuf,nccr & nld?
  13. N

    Sumaye haeleweki anachosimamia

    huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october
  14. N

    ombi kwa serikali ya awamu ya tano

    rais ajaye lazima awe na elements za kidicteta ili awatie adabu watanzania,maana wamekuwa wavivu,waongo,watovu wa nidhamu & walalamishi
  15. N

    Lowassa kuhutubia kwenye viwanja vya Mwembeyanga ni dhihaka kwa wapinga ufisadi nchini

    Lowasa hawezi kusafishika kwa hoja mfu eti kuna mafisadi hawatajwi! huyo lowasa ni fisadi nguli hao wengine hatuwasemi kwa sababu hawagombei huyu icon wa ufisadi anataka eti awe rais hii ni laana
Back
Top Bottom