Mimi nimewahi kusikia fursa ya hao mende nikipewa namba ya simu nikawasiliana nao, kifupi ni kwamba ukitaka unapewa mafunzo jinsi ya kuwafuga ila kuna malipo kwa hayo mafinzo, na kama hutaki ni mafunzo pia sio shida wewe fuga mende wao wananunua kilo 5000, kama unataka mawasiliano yao nina namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.