Katiba mpya ni 'dhima mpya ya kifikra' (general mentality of the people). Tatizo lilipo, ni kwamba sisi Watanzania tulio wengi tunadhani katiba mpya ni kitabu kipya cha sheria, a new printed book composed of set of rules. Ndio maana hatujui nani anatakiwa kukileta hicho kitabu, safari ni ndefu mnoo.