Suala hili linahitaji akili ya kawaida sana na inashangaza kwa mtu Tulia, kama PhD yake ya sheria ni ya kweli, jamii ya kawaida inashindwa kuelewa logic aliyotumia huyu mama; Tulia.
Hii inatokana na ukweli kuwa mtu akifukuzwa kazi mahali, na huyu mtumishi asiporidhika na taratibu zilizotumika...
Ndio matokeo ya uongozi mzima wa kitaifa kule Divai?
Tulishaonya hapa kwamba chekeni na waarabu, mtaona. Kuwekwa picha ya Mh wetu No1 pale Dubai tukasema tutayaona mbeleni.
Leo hata miezi miwili- mitatu haijapita, tunasikia madini ya thamani yanauzwa kule bila mwenye shamba kujua. Integrity yetu...
Kama tunataka kuwa wa kweli, basi lazima tuseme ukweli.
RAIS ALIYEKO MADARAKANI PAMOJA NA MAKAMU WA RAIS HAWANA BUDI WAJIUZURU, kwani haya Madudu yanayoripotiwa na CAG walikuwa sehemu ya JPM. Watu wanapepesa macho sana namna ya kuwafanya watawala wetu wawajibike kwa makosa yao.
Hali ilivyo sasa...
Kama taifa lazima kuwe na succession from generation to another. Unapowarudisha watu kama kina Sophia simba, basi aidha taifa haliwapiki vijana wa kuchukua madaraka/nafasi au unapata dhana kwamba vyeo ni vya kupeana. Watu kama kina Kinana baada ya kulitumikia taifa mrefu na kustaafu, iliwapata...
Naomba mwenye ile picha amezungukwa na maafisa wa vikosi vya ulinzi na usalama na akiwa amebebwa na wana FFU atutupie hapa.
Nilipokuwa naangalia picha ile nyakati zile zikumtofautisha bashite na Idd Amini Dada. Nilisikitika sana alivyokuwa akisindikizwa na walinzi na kubebwa jujuu na juu na wana...
Kusema kwamba kuondoa shs 100/ tayari ilikuwa kwenye budget ya mwaka; kwani ya misaada kama ya TZS 1.3tr zilikuwepo kwenye budget?
Wakati fulani ni jukumu la serikali na hata Bunge kuingilia kati hizi tuzo na hasa nyakati kama hizi vita. Kusema kwamba ikitokea vita kati nchi moja na nyingine...
Kupanga ni kuchagua! Kwa nini isingefanyika juhudi ya hiyo offer ya tangazo ya takribani 2.2Trillion kwa mwezi iende kwenye vipaumbele muhimu vya kitaifa?
Ni sawa na kumchukua mtu maskini kabisa, na kumpeleka kwenye hotel ya kitalii, na kumwambia chakula na malazi yako (huyu mtu maskini...
Serikali imechelewa kuzifuta tozo mbalimbali ilizojiwekea kwani ni kikandamizaji dhidi ya wananchi wake na zilipitishwa na bunge bila kuangalia athari kwa jamii.
Kitendo cha Rais kwenda Dubai kutangaza utalii, bado inaonyesha ni jinsi gani mfumo wa utawala usivyoweza kuaminika mbele ya Rais. Mabalozi na viongozi wengine wako wapi kutumwa kumwakilisha Rais. Period!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.