Nashukuru kwa kufafanua but you misconstrued my point ambapo from the very beginning nimesema ICJ ambayo iko the Hague,Uholanzi.Shauri nililokuwa nazungumzia ni Serbia v Croatia ambazo awali zilikuwa chini ya Yugoslavia, kwa sasa ni nchi huru.Nchi hizi zilifungua kesi hapo ICJ ili kupata...
Samahani pengine labda nimekuelewa vibaya,unasema sheria hii ya Land Acquisition imekuwa repealed and replaced by Land Act and Village Land Act,1999?
Je unaweza ukawa specific vifungu vipi vinazungumzia Land acquisition by public purpose katika sheria hizo ulizosema?
Waheshimiwa salaam
Naomba kujua iwapo kifungu cha 5(2) cha sheria hii kama kimefanyiwa marekebisho yoyote na lini?Kwa ufupi kifungu hicho kinasomeka hivi
Kama kifungu hiki hakijafanyiwa marekebisho ya kisheria,je hapa siyo kuingilia kazi za mhimili mwingine?
Je Haki ya msingi ya mtu mwenye...
Makahama ya Kimataifa ya Uholanzi(International Court of Justices-ICJ) katika maamuzi yake jana kwenye kesi ya Serbia v. Croatia imesema "that it was now up to the justice systems in both countries, but also elsewhere, to prosecute those responsible for crimes"
Maamuzi hayo ni muafaka na ni...
East African Eagle,
Umejitahidi kujenga hoja,lakini tumbuke hapa kuna udhaifu ambapo serikali inakiri kwa maneno kwamba gazeti " has been circulating in the country without being properly registered, contrary to section 6 of the Newspaper Act number 3 of 1976."
Ni kwa nini halikusajiliwa na...
Hoja kuu hapa ni uhuru wa habari ambao upo Kikatiba.Uhuru huu ndio unaokuza demokrasia ndani ya nchi yetu hivyo kuonekana kinara wa utawala sheria kwa kanda ya afrika.
Ikulu ya marekani imesema "A free and open press is essential to the development of democracy and a free and vibrant society,"
==================
Source:thecitizen
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.