Tumeanza kumlea tangu akiwa na umri wa miaka mitatu
. Kwa maana ya kwamba hata ulipokuwa una miaka 8 ulikuwa unaona kama unamlea huyo mtoto, badala ya kumuona kama mtoto mwenzio kwenye familia moja!
Anyway, kiburi kipo, tabia mbaya zipo, anaweza kuwa mwanao au wa mwenzio. Ukimtelekeza kwa...
pitia ndio maana nimeweka link kwenye hii thread ili watu waunganishe dots. soma vizuri uzi wangu wa kwanza utaelewa. pitia hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/629549-jamani-mtoto-anatuchonganisha-familia-nzima.html
Sifurahii matatizo mkuu. the thing hapa ni kuwa behind the scene has been exposed maana yake nilibebeshwa mzigo wa lawama na pia hata dogo mwenyewe bado ni jeuri, sasa mie nifanyeje?
Habari za leo wanajamvi wenzangu?
Ni matumaini mko vizuri, walio katika mfungo basi Insha Allah muumba awape nguvu zaidi ya imani na kuwapa urejefu kwake.Ama baada ya kusema hivyo basi niende moja kwa moja kwenye lengo hasa la uzi huu.
Mwaka jana nilikuja na uzi wangu wenye heading ya MTOTO...
guys naona watu wengi wanasema kuwa eti kwa mwanaume kuwa na mchepuko ni kawaida!
Hivi kweli how does it feel unarudi home halafu unakuta waif anakupokea kwa mapenzi tele na huba tangu anafungua mlango anapokea mizigo na pole kibao za kazi kimbe you had another part time job somewhere hapo...
hapa naomba nitoe ushuhuda wangu binafsi. Kuna mtoto anasoma Green Acres ipo Mbezi beach Africana na anaishi Pugu!
nilipomdadisi nikagundua yupo darasa la pili hapo na bahati nzuri hata gari alilokuwa anapanda mchana ule lilikuwa ni DCM limechoka vibaya sana. halifai kwa matumizi ya binadamu...
Habari za siku ya leo wanajamvi?
Leo nimekuja na hii mada from my own experience.
Siku moja nikiwa kwenye gari (daladala) natoka mihangaikoni nikakutana na mrembo mmoja. Story za hapa na pale tukapeana namba na mawasiliano yakawa moto.
Nina mke mwaka wa tano huu sikuwahi hata kumcheat. Basi...
Habari za jioni wanajamii? Naomba maoni yenu juu ya hizi power bank zinaitwa Techmate zenye mAh 10000.
Hapo napenda kujua ubora wake na vitu kama hivyo...
Nimejaribu kupitia kwenye mtandao wao nimeona kuwa base yao ipo middle east na vitu kama hivyo.
site yao ni...
Ni G4S mkuu... Yeah nimeshawahi kusikia kuwa hawa jamaa wanalipa vizuri.
Jaribu bahati yako mkiu maana kweli maisha yapo tyt na pia nakupongeza kwa maamuzi yako. Mungu akuongoze kwenye hilo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.