Recent content by Nyasigwa

  1. N

    Tiba ya kucheua

    Wadau habari zenu mimi ni mwanamke tatizo langu nikila chakula chochote baada ya muda nacheua kila mara kile chakula nnachokula inanikera sana naomba kujua ni tatizo gani na tiba yake ni nini
  2. N

    Watoto wenu wote wanapitia hatua hii?

    Wangu mimi alikuwa anachora hadi vitandani utakuta kitanda kimechorwa mashuka ndo usiseme hadi milango yote ikafikia muda akaacha mwenyewe muache tu wakati ukifika ataacha
  3. N

    Askari wa Usalama agongwa na kufariki hapo hapo Bamaga!

    Niliiona hii ajali mida ya saa saba hivi Bamaga sidhani kama lile gari lilikuwa la msafara maana msafara wa JK ulikuwa umeshapita na magari mengine yasharuhusiwa kupita nalo likatokea
  4. N

    Nisaidieni mwanangu anateseka na ngozi

    mzizimkavu anajua dawa nyingi mimi zimenisaidia sana ngoja aje akupe darasa
  5. N

    Nisaidieni jamani niweze kuongea vizuri

    mimi sijakuelewa mdau tatizo la kuongea kivipi lugha unayoitumia huijui vizuri au tufafanulie kidogo tofauti na lugha hiyo lugha ulioizoea pia uko hivyo hivyo au
  6. N

    Juisi ya miwa ni salama?

    sio wote wanaotengeneza juice ya miwa ni wachafu mimi nakunywaga mwembechai ni wasafi balaaa na hii juice ukiionja kila siku utatamani unywe
  7. N

    kutopata hedhi

    Mimi nilivyojifungua sikupata hedhi wakati nanyonyesha mpaka mtoto alivyoacha kunyonya ndo ikaanza tena sikwenda kwa dk na sijui inasababishwa na nini
  8. N

    Sababu za tatizo la kutokwa na damu puani (Mhina), jinsi ya kuzuia na tiba yake

    Asante Mzizimkavu ila sijajua tatizo linatokana na nini mbona sisi wazazi wake hatuna tatizo hilo?
  9. N

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Mimi nataka kupunguza tumbo tu ni msichana ila mwili usipungue
  10. N

    Sababu za tatizo la kutokwa na damu puani (Mhina), jinsi ya kuzuia na tiba yake

    Hata mimi mtoto wangu ana tatizo hilo kuna wakati mtoto wangu anatoka damu puani huwa zikimtoka namlaza chali zinakata halafu namsafisha ila tiba sahihi sijapata na sijui inasababishwa na nini Mh. Mzizimkavu tusaidie
  11. N

    Please!: Msaada Jinsi ya Kuwaangamiza hawa Paka

    Mzizimkavu bata mzinga ukimfuga nyumbani kwako paka hawaji tupe darasa faida za bata mzinga kufuga
  12. N

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    MziziMkavu mkuu mimi ni mwanamke nina miaka 30 shida yangu ni kupunguza tumbo nina kitambi balaa nikivaa nguo utadhani nina mimba ila sina mimba nataka dawa ya kuondoa kitambi tu
  13. N

    Kujisikia kichefu chefu wakati wa kula

    Rubi asante kwa ushauri ntajaribu kunywa dawa za minyoo ntakuja kukupa matokeo hapa nina miaka mingi sana sijanywa dawa za minyoo
Back
Top Bottom