Recent content by Nyasa_Fish Product Mwanza

  1. Nyasa_Fish Product Mwanza

    Prof. Kabudi Kutumbuliwa Na Magufuli Baada Ya Barrick Kuondoka?

    Sheria ya nchi gani hyo inayomhukumu mtu anapoferi kutimiza wajibu wake ipasavyo? Sheria haipo easy hvo mkuu rudia kiundani mawazo yako tafuta na ushauri wa experts Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Nyasa_Fish Product Mwanza

    Naomba connection na wapenzi wa Dagaa toka Ziwa Nyasa (Dagaa Nyasa) na Kahawa safi toka Mbinga - Ruvuma.

    Nawasalimu wakuu, Mimi naishi Jijini Mwanza kimasomo lakini nina wazo la kuuza "Dagaa Nyasa" na "Kahawa toka Ruvuma" hukuhuku Mwanza kwasababu nimegundua wahitaji wapo. Kiukweli nimeshaanza kulifanyia kazi wazo langu na naona matumaini. Nafanya mawasiliano na mteja na nafanya deliverance...
  3. Nyasa_Fish Product Mwanza

    MWANZA; DAGAA NYASA NA KAHAWA TOKA MBINGA.

    Mkazi wa MWANZA sasa unapata Dagaa toka ziwa Nyasa na KAHAWA safi toka wilayani Mbinga - Ruvuma popote ulipo. Bei ni kuanzia sh.2000, 5000 na kuendelea Contact 0688839435. Karibuni. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Nyasa_Fish Product Mwanza

    MWANZA: PATA DAGAA NYASA NA KAHAWA SAFI TOKA NYASA & MBINGA

    Sasa Mkazi wa MWANZA unaweza pata dagaa toka ziwa Nyasa na KAHAWA safi toka wiliayani Mbinga - Ruvuma popote ulipo ndani ya jiji la MWANZA kuanzia sh.2000, 5000 nakuendelea with free deliverance Contact 0688839435. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom