Kwa hili gwajima hana pakukwepea,bado namsihi ajitahidi kuyamaliza,maana nyuma yake kondoo wana sikia wanaona haipendezi kama mpakwa mafuta akiliabisha kanisa,sisi kondoo tunaumia sana hata kuandika hii ni basi tu kwa ajili ya upendo wa kristo
Mimi naomba kutoa maoni yangu kwa gwajima kama kweli anafanya kazi ya Mungu aliye hai basi achukue maamuzi magumu yakuomba Rehema na kuipatanisha ndoa ya mabasha,pili kama kweli anamlipia flora hotel aache mara moja, utaona kama flora hata rudi kwake.
hizi tabia za kutetea watu sio vizuri maana hakuna malaika hapo kwenye hilo sakata gwajima,mbasha na florah wote ni wanadamu ila chaziada nikuwa wameokoka
Jana nimeona jinsi kwenye picha jinsi Arusha walivyo ipokea UKAWA,nasikia ACT wanapita wakiwashaeishi wananchi kutoiunga mkono UKAWA sasa kweli hicho ni chama cha upinzani kweli?? Maana wao wangesema tunaunga mkono moja kwa moja UKAWA wananchi wangeona wanadhamira ya kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.