Recent content by Nyaru-sare

  1. Nyaru-sare

    Mke wa rafiki yangu nimempenda sana, vipi wahuni nimlambe?

    Wala dada hao wasikupe taaabu!!...... wanatamani kuliwa na wao pia kugeuzwa dume rijali hawezi fanya hayoo!! ndo mashoga tunawajuaga kirahisi hivi humu! sasa anatafuta soko kijanja! na Mabasha wakimjua tu, wanategesha mademu zao!! sasa aguse aone km hajaliwa kiulainiii! au wanachukua...
  2. Nyaru-sare

    Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

    wanawake ni watu wa ajabu tena ajabu sana sana sijakosea narudia tena..........huyu anae lalamika hovyo hivi hajaata kaunyumba ka professor kitambo sasa!!....... lkn akimchaa nao tuuuu!!! anakuwa mpoleeeee!! hasira zooote kwisha hiyo ndo dawa yao!! ukiona ke analial lia hovyo mara mahakamani...
  3. Nyaru-sare

    Mjue Jini Mahaba: Fahamu mengi kuhusu jini mahaba

    Binadamu wangine wanatatizo la msingi, hata sijui mnataka nini sijui....yamkini nyie wachawi ndo mnaloga ili mtibie!! hivi unajua papuchi ilivo tamu halafu gharamikia! lkn hii unapata bure hutaki!!!... daaaa!!!
  4. Nyaru-sare

    Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

    Loool! Mweee! wajameni mie kwakweli km ni hivi hapana!!! mambo ya kukandwa kandwa kwenye Mabeseni km kiwete sijui mgonjwa!!!! sitaki na kwakweli mtanisamehe nyie watu wa Tanga! Mara eti sijui niogeshwe weee!! kwenye beseni! nisuguliweee! na dodoki daaaa!! km mie mgonjwa mara sijui eti...
  5. Nyaru-sare

    Mchumba hahudumiwi vijana

    Akaibe wapi sasa?? ..... ndo matunda yetu me tuna hangaika, tunajenga ajili ya Maku tu! hatutafuti pesa ajili ya kunenepesha Makalio! Na kujamaba hovyo! hovyo! ni aibu ...... me kamili usipofurahia kulisha/visha/kutibia/kugahrimia kuibiwa pesa na Demu! basi utahudumiwa...
  6. Nyaru-sare

    Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

    ndo maana mie sitaki ndoa nikukubaliana tuu baaasi Daaa! nimmeipenda sana hiyo!! na umeniongezea slogan mwana yaani.............mbona watakomaaa.......naomba uwanachama huko huenda ntapata mengi! kesho nakuja Bongo!
  7. Nyaru-sare

    Mjue Jini Mahaba: Fahamu mengi kuhusu jini mahaba

    papuchi bureee!! Mnapata huku njooni wajameni!! CD wanakosa soko sasa
  8. Nyaru-sare

    Hivi binadamu akiishi milele si maji na hewa na sehemu kubwa ya ardhi vitaisha ili kumtengeneza?

    Una miaka mingapi???...sasa km unaamini Mungu kaumba atashindwaje kuumba calcium na essentila elements nyingine za kumfaa binadamu?? hivi nani alikwambia binadamu ana kufa??..... si unamuamini MUngu weye?? au geresha tu! Mungu si mjinga!
  9. Nyaru-sare

    Mjue Jini Mahaba: Fahamu mengi kuhusu jini mahaba

    AKsant Mkuu!! watu wengine bana wana shida sana!! .....wakipewa uchi wa bure hawataki!! wanataka kununua CD!! Sasa km ni matatizo! kwani jini linakupigaaa?? linakufunga jela? ndo kwaaanza linakupa hela, asa tatizo liko wapi hapo mkuu! ukilikataa weye ndo una matatizo, wee ligande...
  10. Nyaru-sare

    Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

    asikudanganye mtu profesa yulee ni mkurya na ndoa ilifungwa kimira huko Tarime! na professor hajamtariki mkewe! yeye huyo atabaki kuwa mke mkubwaaaa tu! ...arudi nyumbani akalee watoto! huo ni utovu wa nidhamuu wa mke mkubwa kwani si anapata haki yake shida iko wapiii!!...amekiuka mila za...
  11. Nyaru-sare

    Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

    Tatizo lao wachaga wee hujui tu! wanakula tunda! huku wana chati na Manka wa kijijini Machame!.........akija stuka anaulisa....umemaliza baba eeee!....basi nenda kafunge mbusiii na mtori...... Mademu wa kichagaaa??? sina hamu!
  12. Nyaru-sare

    Inashauriwa kutochanganya Maziwa na Ndizi au Mayai na Kitimoto wakati wa kula

    Daaa! nimekukubali sana weee jamaa!! ila umesahau Togwa baridaa inayo wekwa kwa Mutungi weee!...viazi vya kuchoma kwenye mavi makavu ya ng'ombe!..afu upige na kibuyu ya mtindi wa kienyeji ambao hauchemshwi ule! yaani unagandana uzuriiiii utadhani tofari jeupe! sasa kata hilooo tofari...
  13. Nyaru-sare

    Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

    kasoro zipo kwa Mtazamaji! /mwonaji tu!...LKN km mie binafsi kasoro zako ni neema kwangu!....mfano unamuona mdada mwembambaaaa kumbe anapenda kuwa km alivo ila weye wembamaba wake unaona kasoro! haya huyu unaona kuwa anaongea sanaaa bila kumeza mate !!..... lkn yeye ndo kipaji anaonsa...
Back
Top Bottom