kama umekosa la kushauriwa si uache tu kupost thread usokua na uhakika nazo?ukweli nina miaka 25 mzaliwa na nimekulia machame kwene suala la kuua,ubinafsi na uchoyo hilo halipo machame tu bali ni tabia ama hulka ya mtu.
then nalofahamu ni wachapaji kazi na hawapendi vijiwanaume suruali a.k.a...
kwa ufupi kuna binti lijuana nae kuptia rfk yangu wa kiume.akawa ananitembelea nyumbani mara kwa mara.ukweli alinivutia mno ila sikupenda kumjuza lolote juu ya hilo mana bado alikua akarbia kufanya necta ya 4 nami kiwa advance 2008.alipohitimu nikavunja ukimya akanikubali na kukir alikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.