Recent content by nyanyungu

  1. N

    GPA ya 3.9 nimetemwa Master's Degree UDSM

    Pole sana kwa kukosa chuo kijana! Ila lazima ujue GPA sio kigezo pekee cha kuchaguliwa udms. Na pia hiyo GPA yako ni ya chuo gani kusema una GPA ya 3.9 tuu sio kigezo maana pale ud wanatabia ya kustandadize gpa za vyuo vingine so hiyo yako kama ni ya TEKU pengine inaweza kuwa ni 3.2 hivi. Kama...
  2. N

    Nimeambiwa nibadili dini la sivyo sipati mke

    Mi naona ishu yako sio ngumu sana kama weww na yeye mko poa na mnapendana endelea nae tu hayo ni mambo madogo ongeza watoto atabadili. Hao wazazi wanakushaki tuu waone kama unatikisika. Chamsingi kama we unaona mnawezafaana kwa hali na mnapendana haina shida. Endelea naye ongeza familia baadae...
  3. N

    Mke wangu anataka account password yangu ya fb

    Kama mnaishi kwa upendo na mnaaminiana basi Nashauri umpe hiyo password ili kumaliza ugomvi. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Pole sana! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom