Recent content by Nyanyama92

  1. N

    JamiiForums Tanzania NEC yatoa ufafanuzi juu ya mgombea wa CHADEMA jimbo la Singida Kaskazini, aliyetangaza kujitoa kwenye Uchaguzi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi ametoa ufafanuzi mzuri sana. Tunaoshabikia tujipime hoja zetu ziko wapi?
  2. N

    JamiiForums Tanzania NEC yatoa ufafanuzi juu ya mgombea wa CHADEMA jimbo la Singida Kaskazini, aliyetangaza kujitoa kwenye Uchaguzi

    Ni kweli kwa kuwa TZ hatuna jumuiya kama hizo
  3. N

    JamiiForums Tanzania NEC yatoa ufafanuzi juu ya mgombea wa CHADEMA jimbo la Singida Kaskazini, aliyetangaza kujitoa kwenye Uchaguzi

    w Wewe uko jumuiya gani kati ya hizo? Tanzania hatuna jumuiya hizo
  4. N

    JamiiForums Tanzania NEC yatoa ufafanuzi juu ya mgombea wa CHADEMA jimbo la Singida Kaskazini, aliyetangaza kujitoa kwenye Uchaguzi

    Wajitoe tu watu hawata andamanishwa na wagombea wao waroho wa madaraka
  5. N

    JamiiForums Tanzania NEC yatoa ufafanuzi juu ya mgombea wa CHADEMA jimbo la Singida Kaskazini, aliyetangaza kujitoa kwenye Uchaguzi

    NEC haikomai, imeeleza utaratibu NEC haikomai, bali imekuwa inafafanua taratibu zote alizotumia mgombea huyo hadi akawa na sifa za kugombea ubunge. Hata yeye mwenyewe ukisoma magazeti leo anaeleza sababu ya yeye kujitosa kugombea. Kwa hiyo usipotoshe
  6. N

    JamiiForums Tanzania NEC yatoa ufafanuzi juu ya mgombea wa CHADEMA jimbo la Singida Kaskazini, aliyetangaza kujitoa kwenye Uchaguzi

    Hapo kosa la NEC ni lipi? jana ulisoma aliyoongea Mbowe kueleza sababu ya mwanachama wao kuchukua fomu?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kunipa mimba

    Wewe ndiye unatakiwa kumlipa mwanaume atakayekupa ujauzito, si unasaka mimba..ebo
Back
Top Bottom