NEC yatoa ufafanuzi juu ya mgombea wa CHADEMA jimbo la Singida Kaskazini, aliyetangaza kujitoa kwenye Uchaguzi

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,348
2,000
Unaushahidi Kibiti Chadema walihusika?Kama huna funga mdomo huna haki ya kuwatuhumu wasiohusika wakati wahusika wakuu ni nyie wenyewe CCM.

Kwanini muwaue badala ya kuwakamata ili wapelekwe mahakamani kutoa ushahidi??Mnawaua sababu mnajua mnachokifanya.

Pole sana wale watanzania wa enzi za JKN wamebaki CCM tu.

Uchaguzi wowote unaofanywa kwa MAPANGA na MTUTU wa bunduki si uchaguzi ni uchafuzi,na mnatumia nguvu kubwa kupiga,kujeruhi na hata kuua,ukiona chama tawala kinaua RAIA wake ili kichaguliwe basi ujue hakina MORAL authority ya kuitwa chama cha siasa bali chama cha MAUAJI
Mkuu,ushahidi hupingwa kwa ushahidi! Wewe unao?au ndiyo hayohayo mabakuli wazi.
 

bg_dg_dy

JF-Expert Member
Feb 27, 2009
483
250
What are the facts here?

Mbunge aliandika barua ya utambulisho kupitia ofc za chama singida. Iweje chadema makao makuu wakatae tena while taratibu za kisheria kilikamilishwa.

Kwa hizi kauli mbili ndani ya chadema inatuaminisha nn sisi wananchi? Jazia jibu lako .........
 
Top Bottom