Recent content by nyanta

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa wanaosoma HRM mwaka wa kwanza Open Univesity

    Aksante mkuu ngoja nitoke huk kujijin niingie hapo jijin..
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa wanaosoma HRM mwaka wa kwanza Open Univesity

    Lejea na ombi hapo juu..mim ni kijana niliepata bahati ya kuchaguliwa pale out ..shider niliokumbana nayo ni kwamba sina na sijui nitapata wpi matereal.kwa yeyote alie na uelewa naomba anisaidie hata kwa pesa ..njoo tutengeneze group..nibip kwa namba 0714098138
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Samsung galaxy s2

    Mkuuu m ninayo nzuri sana bei 200..bila kupungua niende kumalizia ada ya chuo..nitafte kwa 0719098138
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hakijaeleweka Open University

    Friends naomba msaada . Nimechaguliwa pale OUT university. Lakin mpka sasa wanaleta chenga nying kufanya usajili mara. njoo kesho mara majina yamepelekwa NACTE. Kwa yeyote mwenye taarifa za kuanza usajili anijuze tafadhali
  5. N

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo ni shiiiider..fuull live fiesta..

    Kuanzia ijumaa ya tr 7
  6. N

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo ni shiiiider..fuull live fiesta..

    Njooo live ushuhudie wasanii wakali toka studio kali..wakifanya yao
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nimepata chuo na mkopo lakini nimenyimwa ruhusa kazini nifanyaje ?

    Soma open mtu ang fanya transfer mapema..mm yamenikuta kama haya nikaamua kuomba open..coz siez acha hii nafasi
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaaada: Procedure za kubadili chuo kupitia NACTE

    Aksante saaaaaana kwa ushauli basi ngoja niwapigie simu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaaada: Procedure za kubadili chuo kupitia NACTE

    Habari, Waungwana nilimepata college kwa kupitia NACTE Je! nikitaka badil collge nitumie procedure za tcu ama zipo pia za nacte, Plz nisaidien kabla muda haujakwisha
  10. N

    JamiiForums Tanzania NACTE Selected but not confined imeniponza

    Mzumbe washafanya yao mkuu bt hakuna kitu yaaan hapa nashidwa niwaambie vip wazazi
  11. N

    JamiiForums Tanzania NACTE Selected but not confined imeniponza

    Nyie nakte mmenipa aibu ya mwaka...mtaa mzma wanajua nasepa collg pale mzumbe but not selected. .kwa majina yao...ushauri tafadhali ninaweza omba open kwa mda huu na nikapata
  12. N

    JamiiForums Tanzania Msaada..KUJIUNGA NA UNIVERSITY BILA KUPITIA TCU/NACTE

    Nahis sitapata..huko kwenye central admtion..je kwa mda huu uliobaki naweza omba chuo gani kupitia direct chuoni.?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya naye mapenzi siku moja tuu nikaombwa ninunue simu ya kugusa

    Daaa aksanten saana kwa mawaidha bora..kununua sinunui..coz akigokea mwingne akanunua nzri zaid.menz ataniacha
  14. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya naye mapenzi siku moja tuu nikaombwa ninunue simu ya kugusa

    Je hapa nitapona kwer..kwa dalil hiz..kuna haja ya kuendeleza mapenZ
Back
Top Bottom