Recent content by Nyanidume

  1. Nyanidume

    Kama Trump kaweza kukutana na Putin Mama Samia anakwama wapi?

    Najuwa unaongozwa na mihemko basi ungejaribu walau kuficha upumbavu wako japo kidogo.
  2. Nyanidume

    Sikutegemea Viongozi wa CCM kuweka Maslahi ya Tanganyika pembeni

    Huku mtaani Wapemba wananunua majumba Kila siku na kujenga mafensi makubwamakubwa.
  3. Nyanidume

    Sikutegemea Viongozi wa CCM kuweka Maslahi ya Tanganyika pembeni

    Inauma Sana, nikifikiria huwaga ninalia. Naililia Tanganyika yangu! Rip Mtikila shujaa wote.
  4. Nyanidume

    Chuki za Polepole kwa Samia kuwa rais zilianza zamani baada ya Magufuli kufariki

    Kwanini mnashupaza shingo kwa kulazimisha nyeusi ionekane nyuepe? Ukweli ni kwamba Polepole kawapiga kwenye mshono, kubalini tu kwamba hamna uwezo wa kuzijibu hoja zake.
  5. Nyanidume

    Wimbo Mpya wa Nandy wafutwa Youtube na Mr. Tonge Nyama

    Siyo neno hilo, ni jina la mtu mwenye hatimiliki nalo hapa Daslama
  6. Nyanidume

    Mtoto wa Amina Chifupa na Mpakanjia hana makuu

    Kweli siku hazigandi!
  7. Nyanidume

    Maaskofu 500 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima watinga Mahakamani kufuatilia kesi ya Kanisa kufungiwa

    Sasa kuna ubaya Gani kutoka mahubiri ya kisiasa ikiwa Gwajima ni mwanasiasa? Je kuna Sheria inayomzuia kiongozi wa kidini na pia mwanasiasa kuzungumzia habari za siasa? Au anashtakiwa kwa kifungu Gani Cha Sheria?
  8. Nyanidume

    Kuruhusu Binti yako aolewe na kizee ni ishara umedharaulika na wewe ni Maskini wa Kutupa!

    Hiyo roho mbaya Yako haitakusaidia lolote, Kila mtu ana maamuzi yake katika maisha. Mwanangu nitamuozesha kwa mtu yoyote yule mwenye ufahamu ikiwa tu wamependana wenyewe. Em tuondolee mipasho Yako hapa!
  9. Nyanidume

    Naapa hii nchi haitakuja kutawaliwa tena na Mzanzibar

    Inaumiza Sana mioyo yetu.
  10. Nyanidume

    PreGE2025 Nileteeni Gwajima, nileteeni Gwajima!

    Huko CCM kumejaa mijitu ya ovyo tu isiyokuwa na huruma hata chembe.
  11. Nyanidume

    PreGE2025 Jerry Muro aitisha press kumjibu Gwajima kuhusu utekaji

    No reform no election ndiyo habari ya mjini, hizo habari za wasakatonge kwetu hazina nafasi. Watajuana wenyewe.
  12. Nyanidume

    Wafahamu Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania. Tunaanza na Ramadhan Omari Mapuri

    Tume imejaa Wanzazibar, inafanya majukumu ya Watanganyika!
  13. Nyanidume

    China yakabidhiwa bandari zote za Sudan iziendeshe

    Atakayeelewa huu uharo anitag ili NAMI nielewe!
Back
Top Bottom