Recent content by nyani2018

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Kuna duka pale wanauza jumla tu.... Nilichukua no zao mwezi uliopita. Ngoja nikutumie. Uwapigie wanauza nguo za ndani tu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta agent wa Alibaba waliopo Tanzania

    Wacheki silent ocean au tosh logistics
  3. N

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Nanasi huharibu ujauzito

    Mimba ikiwa changa haishauriki sana kwa sababu kuna acid ambayo ipo kwenye nanasi itakwenda kuchochea Hormone ya oxytocin na kuchochea uchungu ikapelekea mimba kutoka. Lakini kuanzia miezi 3 mtoto amekuwa amejishikiza vema kwenye mfuko na isilete madhara.
  4. N

    JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya Dawa za kutibu Malaria zinaweza kusababisha mzio mwilini, ikiwemo Kuchubuka Uume na Midomo

    Kuna form inapatikana online kwenye app ya TMDA au FIKA kwenye kituo cha kutolea huduma wakusaidie kutoa taarifa. Au kwenye simu yako ya mkononi. Ukiwa na Jina la dawa Kampuni iliyotengeneza Batch no Mfg date Expire date. Au Beba kibox cha dawa uende nacho
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji beli za mtumba Grade 1

    Mnazi mmoja
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada Biashara ya Vijora

    Vijora wanachukuliwa Kariakoo au andika. Vinashonwa hapahapa mjini
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya dawa za PEP na ARV

    Hakuna tofauti
Back
Top Bottom