Recent content by nyangu

  1. N

    GE2010 Chadema mwanza vurugu tupu!

    huna hoja!!!!
  2. N

    GE2010 Kilichonishtua Juu Ya Dr Slaa Pale Mwembetogwa

    zakwako zenye mvuto na zilizo ndani ya uwezo wako ziko wapi tuzisome? uchambuzi wako wa kisayansi na kisomi uko wapi ndugu nikazisome? labda mwenzetu unauwezo wa kuchanganua mambo na labda makala zako ni more analogy!!! tafadhali naomba nisome makala zako ili niweze kuzilinganisha na za Majjid...
  3. N

    Bendera za CCM zazua kizaazaa kenye Daladala Arusha

    sasa nyinyi watu 4 musipoponda magari yenye bendera za CCM basi kaeni hapo stendi mungojee vibasi vyenye bendera za chadema!!! na sijui ni vingapi!!! na utakuwa mjinga kiasi gani upande basi ambalo litasimamishwa na Trafik uchelewe safari yako?
  4. N

    GE2010 Moto wawaka CCM:Shangingi la mbunge lachomwa moto

    hii mada imepitwa na wakati!!!!
Back
Top Bottom