Recent content by Nyangabo2022

  1. N

    JamiiForums Tanzania Out grower Schemes: Sasa kilimo Tanzania ni mwendo wa mikataba tu vijana kama mnataka mali mtazipata shambani njooni tulime

    Natarajia msimu ujao nianzishe shamba la korosho hekari 40 songea nawapataje Hawa wadau niwezeshwe kufikia mafanikio?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wapya wa CHADEMA wamechagua mtindo wa kufoka, wanapohutubia kwenye mikutano yao?

    Kwa uzoefu Wang hata katika maisha ya kawaida mtu akikutanyia mabaya kupta kias njia ya kwenda nae sambamba ni kumshambulia kwa maneno na vitisho Kisha mtakaa meza ya mazungumzo na kupata suluhu* naona chadema mfumo huo kw Hali ilvyo hv sasa ndio unafaa wangeenda tofaut na hv ad hapa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    Sasa nikukumbushe kidogo kuhusu wakenya kununua mazao km mahind, ngwara/ fiwi Tz ni msaada mkubwa kwetu, nmefanya biashara na wakenya enz naishi mikoa y kaskazn, watu wetu wanategemea soko Kenya pekee, ilkuwa ikitokea mipaka kufungwa mahind yalshuka had elf 30 kwa gunia la debe 6. Na wale...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ubora wa mbolea ya fomi Otesha

    Tumia hyo ni nzur kuoteshea lakin ikifka wakat wa kuzalishia usjarbu kutumia wao wanasema ni CAN ila imeandkwa kenycoch km cjakosea hlo ni bomu Haina ubora, mwaka huu kusini tumefchiwa can y falcon imeingzwa hii ni Bora usiweke kabisa.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu Cha mtakatifu Joseph Cha mjini songea ni kama mshumaa uliozima ghafla.

    Habari za majukumu watanzania wenzangu na wadau mbalimbali wa elimu. Mimi ni mwenyeji wa mikoa ya nyanda za juu kusini. Nyanda za juu kusini especially mkoa wa ruvuma na jombe ni Kanda ambayo elimu sio kipaumbele hata ukiangalia hapana chuo kikuu chochote baada ya mwendazake kufungia chuo Cha...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Mbolea katika kilimo cha karanga

    Nasubr pia
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada, Nahitaji ardhi Songea ambayo haijawahi limwa

    Nipo kazn shamba la mpunga hili,
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada, Nahitaji ardhi Songea ambayo haijawahi limwa

    Niko songea mkuu ni mkulima mdogo lakin mashamba nayaelewa yanakopatkana kwa wing unajchagulia Bei ni lak had lak na nusu, ardh inafaa kwa kilimo Cha mpunga, mahnd, soya, karanga, jugu, Nazi, korosho nk! Npgie 0682475620
  9. N

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kamateni trafiki wala rushwa

    Nliambiwa na mmoja wa mapolice cku fulan kuwa takukuru Hana mamlaka ya kumkamata police akiwa kazn na haiwez kutokea ndio maana hatujawah kuskia kes y traffic kukamatwa na takukuru,
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaponda kilimo licha ya soko la bidhaa yake kuwa na uhakika?

    Mim nko songea sitak mchezo, iko hv ukiamua kulima tenga miaka kumi humo humo lazma ukutane na mwaka wa baraka, mfano nlkuwa naongea na mkulima wa korosho kaniambia mwaka huu wameupiga mwing, ukija upande wa kahawa hvo hvo! Tatzo wabongo tunataka kulima mwaka mmoja uwe tajir mwaka huo huo! Hata...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaponda kilimo licha ya soko la bidhaa yake kuwa na uhakika?

    Huwez kulima mpunga mwez wa 10 uvune mwez wa kwanza never, hata ingekuwa mahind mikoa inayolima mwez wa kumi ni km geita, na kagera mahind yaliyovunwa mapya hayapendw na walaji kwa maana ya unga wake hli hupelekea mahind y zaman kuwa na Bei nzur; nltoa mawazo yang kwa ujumla ili mtu abalance...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaponda kilimo licha ya soko la bidhaa yake kuwa na uhakika?

    Mim pia nalima kwa muda sasa, nkilinganisha maisha yangu kabla sijaanza kulima na ya sasa baada y kuingia shamba ni tofauti mno Tena nalima kilimo Cha mvua. Matajri weng japo sio wote tunaowaona town wamewekeza shambn mfn kusini unakuta mtu ni Don kwel kwel lakin analima mashamba y mahind...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaponda kilimo licha ya soko la bidhaa yake kuwa na uhakika?

    Tatzo la wakulima weng wanataka akivuna auze hapo hapo shambn, lazma uuze kwa hyo Bei unayotaka / 20000/= lakin fatilia mkulima anayeweka mazao yake had mwez wa pili anauza na kupata kipato kikubwa Sana. Tuache mapepe y kulima na kuuza wakat wa mavuno ili Hali mazao yanakuwa meng sokon Bei...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kati ya kilimo cha Minazi ama korosho kipi kinafaa?

    Umenena vyema kiongozi nitazngatia
Back
Top Bottom